Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
kuelimika ni kujifunza kuwa mbunifu na mgunduzi.
to be educated is also about learning to be creative and innovative.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
alikuwa mbunifu wa majengo mwenye kipaji cha ajabu.
he was also an incredibly talented architect.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
je, wewe ni mbunifu, mgunduzi na una wazo au mradi kichwani mwako?
are you creative, innovative and have an idea or a project in mind?
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
sami shah ni mchekeshaji, mchoraji, mbunifu wa picha na mwandishi wa safu anayeishi magharibi mwa australia.
sami shah is a stand up comedian, illustrator, graphic designer and columnist living in western australia.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mbunifu wa uturuki ya kisasa, mustafa kemal atatürk, alifariki akiwa kwenye kasri hili mwaka 1938.
the founder of modern turkey, mustafa kemal atatürk, died there in 1938.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
tarehe mpya imeingia kwenye historia kwa mgogoro katika sekta ya elimu ambapo walimu 108 wamegomea uhamisho wa adhabu na baraza la elimu likiahidi kufutilia mbali uamuzi huo pamoja na waziri huyu mbunifu katika kutengeneza matatizo na kulimbikiza makosa
a new date with a year marked with a crisis in the education sector with 108 teachers refusing punitive transfer and education syndicates promising to make the decision fall and a minister who is very creative in making up crises and accumulating failure
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
alan emtage, mtengenezaji wa mtandao na mbunifu wa archie, mtandao wa kwanza wa kutafutia maudhui kwenye intaneti, anazumngumza nasi kutoka barbados kuhusiana na uzoefu wake kama mwanzilishi wa mtandao.
alan emtage, web developer and inventor of archie, the internet's first search engine, speaks to us from barbados on his experience as a web pioneer.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
jarida ‘baya’ la daily star limewafanya wanablogu wa kilebanoni kuchukua hatua, kwa kampeni ya mtadaoni iliyozinduliwa na mbunifu wa blogu ya beirut spring, mustapha.
the "ugly" daily star has prompted lebanese bloggers to act, with an online campaign launched by creator of the beirut spring blog, mustapha.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta