Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
muhula wa kwanza unautumia kujaza mifuko yako.
one term to fill up personal pockets.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
zimeingia kwenye mifuko ya basijis (wanajeshi wa kiislamu).”
it is in the pocket of basijis (islamic militias)."
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
shikamoo mkuu, kwema? kabechi tayari zimeshakomaa halafu yule mzee ameshakuandalia mifuko
and the prince said, good? the butterflies have already matured, and the old man has prepared the bags for you.
Ultimo aggiornamento 2022-09-01
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
hapana, inaendelea kujaza mifuko ya wengine, na tutaendelea kuishi katika umaskini.
no, it goes to fill others’ pockets, and we will continue to live in poverty.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
mara moja wameshakupekua na mifuko ya suruali. tuwe makini sana wananchi wenzangu macho yetu yawe kwenye mpira ama sivyo mifuko yetu itapekuliwa.
we shall not be hoodwinked by focusing on petty issues.any way this is typical kaponya tactics they grab byour aattention as you look away ,bang they have searched your pocket.watch out my countrymen eyes on the ball or is it our pockets.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
uzeni mali yenu mkawape maskini misaada. jifanyieni mifuko isiyochakaa, na jiwekeeni hazina mbinguni ambako haitapungua. huko wezi hawakaribii, wala nondo hawaharibu.
sell that ye have, and give alms; provide yourselves bags which wax not old, a treasure in the heavens that faileth not, where no thief approacheth, neither moth corrupteth.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kauli mbiu ya kisiasa ya chama cha pf ya fedha zaidi kwenye mifuko yenu ilikuwa kweli tupu. sisi wengine hatujaziona hizi fedha, bado tunaenda kulala tukiwa tumekula mlo mmoja tu, lakini bado majirani zetu wananunua magari ya kifahari kwa bilioni 1.
true to the pf political slogan of more money in your pockets, we have not seen this money, we still go to bed having only eaten one meal, and yet our neighbours are buying luxury cars at 1 billion.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
mradi wa "umeme kwa afrika" hautazalisha umeme kwa kiasi kingi kama inavyoahidiwa, labda sana utatunisha tu mifuko ya watu wenye uhusiano na wanasiasa wa pande zote mbili, marekani na afrika.
"power africa" will likely not produce as much energy as promised, while lining the pockets of politically-connected individuals in both the u.s. and africa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
@shahbaginfo: damu yenye rh hasi inahitajika #shahbag; mifuko 700 ya damu imekusanywa hapa, 500 imetumwa katika hospitali ya chuo cha dhaka na kwenye kambi; hospitali ya chuo cha enam. #savar
@shahbaginfo: rh negative blood needed in #shahbag; 700 bags of #blood collected here, 500 sent to dhaka medical college & enam medical college. #savar
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta