Hai cercato la traduzione di mimi kuishi kwa ajili ya chama na... da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

mimi kuishi kwa ajili ya chama na chama i kuishi

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

maana, kuhusu sheria hiyo, mimi nimekufa; sheria yenyewe iliniua, nipate kuishi kwa ajili ya mungu. mimi nimeuawa pamoja na kristo msalabani,

Inglese

for i through the law am dead to the law, that i might live unto god.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yeye mwenyewe alizibeba dhambi zetu katika mwili wake juu ya msalaba, tupate kufa kuhusu dhambi, na kuishi kwa ajili ya uadilifu. kwa majeraha yake, ninyi mmeponywa.

Inglese

who his own self bare our sins in his own body on the tree, that we, being dead to sins, should live unto righteousness: by whose stripes ye were healed.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

siku chache zilizopita, yeye pamoja na chama chake walithibitisha mipango yao ya kugombea urais na kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa mwezi oktoba.

Inglese

just days ago, he and his party confirmed a planned bid for the presidency and a campaign for the october election.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

haijawahi kutokea katika historia ya uchaguzi mkuu katika nchi yetu kutokea uchaguzi kutawaliwa na tashasha za mtu fulani badala ya tafakuri au maono ya chama kwa ajili ya nchi.

Inglese

never before in the history of general elections in our country has so much been hinged on the persona of a man instead of on the ideals or vision of the party for the country.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wakati wa ghasia, ripota kutoka gazeti la kila siku la beira, "diario de mocambique", antonio chimundo, alivamiwa na wanachama wa renamo ambao walimshutumu kuwa alikuwa akifanya kazi kwa ajili ya chama tawala cha frelimo.

Inglese

during the scuffles, a reporter from the beira daily paper "diario de mocambique", antonio chimundo, was physically attacked by renamo members who accused him of working for the ruling frelimo party.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

- jenerali laurent nkunda na chama chake cha taifa kwa ajili ya kulinda watu au congres national pour la defense du peuple (cndp) anadai kupigana kwa ajili ya kuwalinda wananchi wa kongo wa kabila la watusi dhidi ya wageni wasioalikwa na wala kutakiwa nchini humo,

Inglese

-general laurent nkunda and his congres national pour la defense du peuple (cndp) claim to fight for the protection of the congolese tutsi population from the drc's most uninvited and unwelcome guests,

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

badala ya kushindana katika uchaguzi rasmi, baadhi ya wanaharakati wa sehemu hizo walichuana katika uchaguzi wa uratibu baraza, wakishiriki katika midahalo ya televisheni, mashindano ya insha, kupiga kampeni, kupoteza muda katika misuguano ya ndani ya chama - yote hayo kwa ajili ya kugombea nafasi katika taasisi ambayo haitakuwa na meno yoyote, hata kama itakuja kuwepo.

Inglese

rather than compete in formal elections, dozens of local activists joined the coordinating council race, participating in televised debates, an essay contest, campaigning, and a host of intra-opposition squabbles — all for a seat in an institution that will be completely divorced from any actual power, even after it actually comes to exist.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

google translatehistoria fupi ya chama: chama cha wasioona tanzania kilianzishwa mwaka 1964 na wanafunzi wa chuo cha ufundi manoleo mkoani tabora. lengo la kuanzishwa kwa chama lilikuwa kwa ajili ya kupigania maslahi ya wanachuo wa chuoni hapo. baadaye mwaka 1972 chama cha wasioona kilisajiliwa kwa namba za usajili 5034 na kuwa chama cha kitaifa na makao makuu kuhamishiwa dar es salaam. lengo likiwa kuwaunganisha wasioona wote nchini, kupigania haki na maslahi yao kwa njia ya ushawishi na utetezi. chama cha wasioona kina wanachama zaidi ya 3000 na matawi zaidi ya 105. aidha, chama cha wasioona wilaya ya temeke kilianzishwa mwka 2001 na wanachama waliokuwa wakiishi wilayani hapo, lengo likiwa kupigania haki na maslahi ya wasioona wa wilaya ya temeke. tawi hili lina zaidi ya wanachama 180.

Inglese

google translate

Ultimo aggiornamento 2015-01-17
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Alcuni contributi umani con scarsa rilevanza sono stati nascosti.
Mostra i risultati con scarsa rilevanza.

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,745,622,936 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK