Hai cercato la traduzione di mpangaji atatakiwa kutoa taarifa da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

mpangaji atatakiwa kutoa taarifa

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

kutoa taarifa

Inglese

providing information

Ultimo aggiornamento 2024-01-07
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hii ni hali ya kutoa taarifa kuhusu nasfi yako mwenyewe

Inglese

Ultimo aggiornamento 2021-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

mradi unatarijiwa kutoa taarifa mwaka 2014, pamoja sehemu ya usalama.

Inglese

the project is due to report back in 2014, with an annexed security segment.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

imejitolea kutoa taarifa juu ya kesi ya wanablogu na waandishi wa habari wasio na hatia.

Inglese

it is dedicated to report on the trial of innocent bloggers and journalists.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

mama huyo kwa kukubali ombi la mwizi wake, aliamua kuachana na mpango wa kutoa taarifa ya tukio hilo.

Inglese

the affected lady while accepting the thief's pleas, refused to report the incident.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

mkoa wa altai katika jimbo la xinjiang ilitekeleza mfumo wa kutoa taarifa yakipato katika mwezi januari 2009.

Inglese

altai county in the western province of xinjiang implemented an income-reporting system for officials in january 2009.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kama ilivyo kwa poonam mahajan, deora vile vile ana ukurasa wa facebook na twita zikiwa zimeunganishwa kutoa taarifa zake.

Inglese

like bjp’s poonam mahajan, deora too has his facebook and twitter pages linked, with one feeding information into the other.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

anadai kuondoa kipengele cha hukumu ya kifo na kile kilichopendekeza kuwafunga wanafamilia watakaoshindwa kutoa taarifa za vitendo vya kishoga kwenye mamlaka zinazohusika.

Inglese

he claims to have dropped the death penalty and jailing of family members who fail to report homosexuals to the authorities.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

watu wengi wanauliza ni nini kilichotokea katika masaa ya mwanzo baada ya ajali na ni kwa nini ilichukua muda mrefu kuanza kutoa taarifa za ajali hiyo.

Inglese

many people ask what happened during the first hours after the crash and why it took so long to start reporting on it.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kwa mujibu wa maoni ya mtandaoni, maendeleo haya huenda yakazisukuma serikali za mikoa mingine nazo kutoa taarifa kamili za mapato yao na kuongeza uwazi.

Inglese

according to online opinion, such developments may pressure other townships or higher levels of government to issue expenditure statements and increase transparency.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

maendeleo haya yamekuja katika kipindi ambacho mikoa nchini china imeanza kufanya majaribio ya mfumo kama huo unaohitaji maafisa kutoa taarifa kuhusu vipato vya familia zao na miradi wanayoendesha.

Inglese

this development comes at a time when counties across china begin to experiment with a similar system requiring officials to report their family income and investments.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

lakini yule afanyaye yanayostahili adhabu bila kujua, atapigwa kidogo. aliyepewa vingi atatakiwa vingi; aliyekabidhiwa vingi zaidi atatakiwa kutoa vingi zaidi.

Inglese

but he that knew not, and did commit things worthy of stripes, shall be beaten with few stripes. for unto whomsoever much is given, of him shall be much required: and to whom men have committed much, of him they will ask the more.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

alama ya twita ya #walk2work imekuwa ikitumika kutoa taarifa juu ya kampeni hiyo na tangu kukamatwa kwake asubuhi, ujumbe wa twita umekuwa ukija na taarifa mpya mbalimbali pamoja na maoni

Inglese

the twitter hashtag #walk2work has been used to report on the campaign and from the time of his arrest in the morning, tweets were coming with different updates and opinions.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

mnamo desemba 2014, rais alimwagiza waziri wa nchi kupitia upya haraka hadhi ya cuba kama nchi inayofadhili ugaidi, na kutoa taarifa kwake ndani ya miezi sita kuhusu ufadhili wa cuba kwa vitendo vya kimataifa vya ugaidi.

Inglese

in december 2014, the president instructed the secretary of state to immediately launch a review of cuba’s designation as a state sponsor of terrorism, and provide a report to him within six months regarding cuba’s support for international terrorism.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

jukwaa la ikomboenaija, linaloendeshwa na nyenzo ya wavuti ya ushahidi, ni jukwaa la kutoa taarifa lililotengenezwa kama mfumo wa umma kupata namna ya kusikilizwa sauti zao kuhusiana na masuala kama uwazi wakati wa uchaguzi na utawala.

Inglese

the reclaimnaija platform, which is driven by the ushahidi web engine, is a reporting platform set up as a mechanism for grassroots people to get their voices heard on issues of electoral transparency and governance.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

matizo ya mfumo wa usambazaji wa dawa sio jambo jipya kwa watu masikini nchini uganda, wengi wao wakiwa vijijini, lakini kuna namna chache sana za kutoa taarifa hizo kwa wataalamu wa afya walio katika nafasi ya kufanya jambo kuhusiana na changamoto hizo.

Inglese

medicine supply chain problems aren’t news to uganda’s poor, many of them in remote rural villages, but few channels exist to bring that information to the public officials who are in position to do something about it.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

huku lengo lake likiwa ni "kuonyesha ukweli kuhusu shule za umma", isadora anaweka picha zinazoonyesha maeneo yanayohitaji kufanyiwa ukarabati katika shule yake pamoja na kutoa taarifa kuhusu matatizo mengine mengi ya jumla.

Inglese

aiming to "show the truth about public schools", isadora shares photos that show the repairs needed in her own school and reports on other general problems.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

naomba kutoa taarifa kwamba mauzo ya mwaka 2022 yalitolewa receipt ya tra mwezi wa tatu mwaka 2023 kutokana na kwamba tulipata efd machine mwishoni mwa mwezi wa pili 2023.kutokana na hilo mwaka huu hatukufanikiwa kufanya biashara lakini mashine ya efd inaonyesha jumla ya mauzo ni tsh 236,510,182 ambayo yalikuwa ni ya mwaka 2022 ila yalitolewa mwezi wa tatu 2023

Inglese

i would like to inform you that sales in 2022 were granted the receipt of the tra in march 2023 due to that we got the efd machine in the second month at the end.

Ultimo aggiornamento 2024-04-30
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

blogu-tovuti ya the livesay imejitolea kwa moyo mmoja kutoa taarifa mpya za kila wakati kupitia makala zake, wakati ambapo troy, mkuu wa kaya, akiandika kupitia twita kila baada ya kitambo kifupi pamoja na kutuma picha kupitia kwenye mkondo wa picha wa flickr.

Inglese

the livesay weblog has been really committed to updating its posts, with troy, the head of the family, tweeting regularly and posting images to his flickr photostream.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

nacla, lililoanzishwa mwaka 1966, ni shirika huru, lisilo la kimaslahi lililo na lengo la “kuendeleza maarifa bila mipaka” kwa njia ya kutoa taarifa na uchambuzi kuhusu latini amerika pamoja na hali tete ya ushirikiano kati yake na marekani:

Inglese

nacla, founded in 1966, is an independent, nonprofit organization that seeks to “foster knowledge beyond borders” by providing information and analysis on latin america and its complex relationship with the united states:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,748,579,746 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK