Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
tangazo la biashara
the announcement of the business
Ultimo aggiornamento 2024-11-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
nataka kwenda kwenye duka la biashara
i want to go to the mall
Ultimo aggiornamento 2024-09-10
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
wakati huo huo, soko hilo pia ni hifadhi ya wahalifu ambao wanalipa eneo hilo la biashara jina baya.
at the same time, the market is also a haven for criminals who have given the commercial area its bad name.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
global voices itafuatilia kisa cha tangazo hili la biashara la namna yake na kuchapisha matokeo ya utafiti mara yatakapotolewa.
global voices will monitor this interesting commercial/advertising case and publish the results of the survey, too, as soon as they appear.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
revolico.com, jukwaa la biashara ya kupitia elekroniki la cuba linaloshabihiana na craigslist, pia lilianza kupatika mtandaoni kwa watembeleaji waishio cuba.
revolico.com, a cuban e-commerce portal similar to craigslist, was also accessible from the island.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
harinjaka, mwanzilishi wa mradi wa habaka na mwanablogu anayeishi madagaska, ameanzisha shindano la biashara mpya antananarivo 2014 lenye lengo la kuchagua na kuunga mkono wazo la biashara nchini madagaska.
harinjaka, founder of the co-working space habaka and madagascar-based blogger, created the 2014 antananarivo start up cup whose objective is to select and support the best business ideas in madagascar.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mtumiaji mwingine wa (mtandao wa)weibo “kong batian” alikumbuka tamko la dunia la biashara ya maua jijini kunming mwaka 1999:
weibo user “kong batian” recalled the world horticultural exposition in kunming in 1999:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ishara hiyo ya heshima kwa kunyanyua mikono, iliyohamasishwa na tangazo la biashara la "the hunger games," imekuwa ikichukuliwa kama alama isiyorasmi ya waaharakati wasiokubaliana na mapinduzi ya kijeshi pamoja na watu wanaounga mkono harakati za kidemokrasia.
the raised armed salute, inspired by the fantasy blockbuster "the hunger games," has been appropriated as the unofficial symbol of anti-coup activists and supporters of the pro-democracy movement.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
pamoja na hatua kali dhidi ya wahalifu wa pembe za ndovu zinazochukuliwa na idara ya uhamiaji ya hong kong na idara ya forodha katika kutekeleza tamko la biashara ya kimataifa la viumbe waliohatarini kutoweka (cites), imekuwa vigumu kwa mamlaka kuwatambua na kuwashitaki waingizaji wa bidhaa hiyo.
despite the active crackdown of ivory smugglers by the hong kong customs and excise department in the implementation of the convention on international trade in endangered species of wild fauna and flora (cites), it has been difficult for the authorities to identify and prosecute the smugglers.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwa mujibu wa osha, kazi za kuwa hatarini kwa kiwango cha wastani inajumuisha zile ambazo zinahitaji kutangamana na watu mara kwa mara au kuwa karibu na watu kati ya futi sita (mita 1.8) ambao hawajulikani au kushukiwa wagonjwa wa covid-19, lakini huenda wameambukizwa na sars-cov-2 kutokana na usambazaji unaoendelea wa kijamii karibu na eneo la biashara, au kwa sababu mtu huyo amesafiri kimataifa hivi karibuni hadi eneo iliyo na usambazaji mkubwa wa covid-19.
according to osha, medium exposure risk jobs include those that require frequent or close contact within six feet (1.8 m) of people who are not known or suspected covid-19 patients, but may be infected with sars-cov-2 due to ongoing community transmission around the business location, or because the individual has recent international travel to a location with widespread covid-19 transmission.
Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: