Hai cercato la traduzione di pole habari kwamba mpenzi da Swahili a Inglese

Swahili

Traduttore

pole habari kwamba mpenzi

Traduttore

Inglese

Traduttore
Traduttore

Traduci istantaneamente testi, documenti e voce con Lara

Traduci ora

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

sikuwa na habari kwamba "wao" wapo wengi!"

Inglese

i had no idea there were so many "thems" out there!"

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

yesu akapewa habari kwamba mama na ndugu zake walikuwa nje, wanataka kumwona.

Inglese

and it was told him by certain which said, thy mother and thy brethren stand without, desiring to see thee.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

sasa, mambo yatakuwaje? ni dhahiri kuwa watapata habari kwamba umekwisha wasili hapa.

Inglese

what is it therefore? the multitude must needs come together: for they will hear that thou art come.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

baada ya siku kadhaa, yesu alirudi kafarnaumu, watu wakapata habari kwamba alikuwa nyumbani.

Inglese

and again he entered into capernaum, after some days; and it was noised that he was in the house.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

jirani na watu wa jamaa yake walipopata habari kwamba bwana amemwonea huruma kubwa, walifurahi pamoja naye.

Inglese

and her neighbours and her cousins heard how the lord had shewed great mercy upon her; and they rejoiced with her.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mtu si awaambie watangazaji a vyombo vikuu vya habari kwamba kanuni ya kwanza ya kutangaza habari ni kutokuonyesha uko upande gani?

Inglese

someone tell our media the first rule of engagement is not to reveal ure forces positions #untrained #onairlunacy #khiairportattack — fk (@faisalkapadia) june 8, 2014

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kufuatia habari kwamba wafungwa wameachiliwa huru, léon guéré (@cocoloposo) aliandika kwenye twita tarehe 31 machi:

Inglese

following news that prisoners had been released, léon guéré (@cocoloposo) wrote on twitter on march 31:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, yakobo alipopata habari kwamba huko misri kulikuwa na nafaka, aliwatuma watoto wake, yaani babu zetu, waende huko misri mara ya kwanza.

Inglese

but when jacob heard that there was corn in egypt, he sent out our fathers first.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

basi, katika mji ule kulikuwa na mama mmoja aliyekuwa anaishi maisha mabaya. alipopata habari kwamba yesu yuko nyumbani kwa huyo mfarisayo, alichukua chupa ya alabasta yenye marashi.

Inglese

and, behold, a woman in the city, which was a sinner, when she knew that jesus sat at meat in the pharisee's house, brought an alabaster box of ointment,

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ryan ik alikubaliana na ufafanuzi huo lakini alijisikia "kukosa maneno ya kutoa pole, habari hizo hazikuwa za kiungwana."

Inglese

ryan ik appreciated the clarification but he also felt that "without any words of sympathy, the update feels very cold."

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

mapema mwaka hu, serikali iliwaambia waandishi wa habari kwamba sata alikuwa kwenye mapumziko ya kikazi nchini israel, ingawa vyombo vya habari vya israeli baadae viliandika kwamba alikuwa kule kupata matibabu.

Inglese

earlier this year, the government told journalists that sata spent a working holiday in israel, though the israeli media later reported that he was there to receive medical treatment.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

nimesikitishwa sana na habari kwamba umempoteza baba yako. najua ni wakati mgumu kwako, jinsi ninavyoomba kwamba mungu akutie nguvu wakati huu wa kujaribu kuushinda. tafadhali pokea salamu zangu za rambirambi kwa kufukuzwa kwake. roho yake ipumzike kwa amani ya milele mpaka tukutane tena

Inglese

i am deeply saddened by the news that you just lost your father. i know it is a difficult moment for you, how i pray that god strengthens you at this trying time to overcome it. please accept my sincere condolences for his dismissal. may his soul rest in eternal peace till we meet again. i am deeply sorry for the loss.

Ultimo aggiornamento 2023-05-22
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

daraja blog alikuwa mwepesi kutengeneza orodha sahihi ya 'vyanzo muhimu', ikiwa ni pamoja na tamko la baraza la habari tanzania na tamko la baraza la habari duniani, lakini pia daraja alifanya uchambuzi wa kina -akitaja bayana kwenye kichwa cha habari kwamba 'mstari umevukwa'.

Inglese

daraja blog was quick to produce a factual list of 'key sources', including links to tanzania's media council's statement and the world association of press council's statement, but daraja also did a thorough analysis - stating in the headline that "a line has been crossed".

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
8,940,433,008 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK