Chiedi a Google

Hai cercato la traduzione di shukrani za dhati da Swahili a Inglese

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

shukrani za dhati

Inglese

Sincere thanks

Ultimo aggiornamento 2015-10-20
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

tunatanguliza shukrani zetu za dhati

Inglese

we express our sincere gratitude

Ultimo aggiornamento 2019-01-22
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

Shukrani za pekee kwa jopo la waokoaji wa kijeshi kwa juhudi walizoweka.

Inglese

Many thanks to the Bangladesh army rescue team for their efforts.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

Tangu wakati huo, jitihada za dhati zimewekwa katika utafiti wa HCoV.

Inglese

Since then, tremendous efforts have been dedicated to HCoV research.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

Pia, shukrani zetu za dhati ziiendee Mamlaka ya Jiji la Cebu kwa kuturuhusu kutumia jengo lao tukufu la Provincial Capitol kwa muda wa siku mbili.

Inglese

To the Province of Cebu for letting us have the run of their grand Provincial Capitol Building for two whole days.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

Shukrani zetu za dhati kabisa ziwaendee wafadhili wetu wa masuala ya habari SunStar Publishing, pamoja na wafadhili wetu wa mawasiliano Globe Telecom na Smart Communications.

Inglese

Our heartfelt gratitude to our media sponsor SunStar Publishing, and our tech sponsors Globe Telecom and Smart Communications.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

Shukrani za dhati kwa Wafadhili wetu wa kimataifa: Ford Foundation, MacArthur Foundation, Google, Open Society Foundations, Knight Foundation, Yahoo! na Automattic.

Inglese

Our international sponsors: Ford Foundation, MacArthur Foundation, Google, Open Society Foundations, Knight Foundation, Yahoo! and Automattic.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

Shukrani za dhati kwa Wawakilishi, ambao walikuja kutoka katika maeneo ya karibu na ya mbali katika nchi ya Ufilipino, na pia wote waliokuja kutoka katika maeneo mengine Duniani kwa lengo la kushiriki mkutano huu.

Inglese

Our attendees, who came from near and far within the Philippines, and from other parts of the world, to be part of the event.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

Mtandao wa Global Voices kwa sasa unapatikana katika zaidi ya lugha 30 tofauti shukrani za pekee kwa wahariri na wafasiri wetu wanaojitolea kwenye mradi wetu wa Lingua.

Inglese

Global Voices is currently available in more than 30 different languages thanks to the amazing volunteer editors and translators of our Lingua project.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

Nyote mnastahili pongezi za dhati kabisa kwa kila mlilolifanya kwani lilipunguza muda wetu wa kukaa gerezani pamoja na kutupunguzia hali ya kukata tamaa katika kipindi tulichokuwa gerezani.

Inglese

You all deserve our heartfelt gratitude for your actions reduced the length of our prison time and eased our boredom while we were in prison.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

Pia, tunatoa shukrani za kipekee kwa Idara ya Utalii ya Ufilipino kwa ukaribisho mwanana wa maadhi ya Kifilipino na kwa sherehe iliyofana ya kuhitimisha mkutano, iliyofanyika Museo Sugbo.

Inglese

To the Philippine Department of Tourism for the warm Filipino welcome and the epic closing party at the Museo Sugbo.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

Tuzo hizo zinalenga kuwatuza watu na mashirika yanayofanya jitihada za dhati kuupa nguvu uandishi wa kiraia ili kuhusika na kujenga jumuiya mtandaoni kuanzia kwa watumiaji wa mtandao wa Facebook mpaka watumiaji wa mtandao wa twita na wanablogu wanaojituma.

Inglese

The awards seek to reward those individuals and organizations that are making a concerted effort to harness the power of social media to engage and build communities online. From avid face-bookers to twitter personalities and passionate bloggers.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

Wakati maandamano hayo yakiendelea, katika hali ya baridi na mvua, huku familia zikikataa kuzika miili ya ndugu zao, je serikali itachukua juhudi za dhati za kukomesha mauaji haya ya Halaiki?

Inglese

As the sit in continues, amid cold and rain, as families refuse to bury their loved ones, will the authorities finally take action to stop the bloodshed?

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

Gazeti la kila siku la Kiingereza nchini Iran Tehran Times, ambalo ni sehemu Shirika la Habari la Mehr linalomilikiwa na Shirika la Kueneza Itikadi ya Kiislamu , lilieleza shukrani za Sivanka Dhanapala, ambaye ni mwakilishi wa UNHCR nchini humo, kwa mradi huo:

Inglese

Iran's English daily Tehran Times, part of the Mehr News Agency owned by the Islamic Ideology Dissemination Organisation, described the "gratitude" of Sivanka Dhanapala, the UNHCR Representative in Iran, for the program:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

Naifikiria familia ya Moath Kassabah, iliyoweka juhudi za dhati za kutaka kuachiwa huru kwa ndugu yao. #كلنا_معاذ pic.twitter.com/wByKfhC6jc — Sheera Frenkel (@sheeraf) February 3, 2015

Inglese

We have reached the bottom of human depravity. RIP, Muath. #MuathalKaseasbeh #JO #كلنا_معاذ — Amer Sweidan (@AmerSweidan) February 3, 2015

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

Shukrani za kipekee pia ziwaendee Doris Isubal-Mongaya na timu yake ya PRWorks kwa kutumia maarifa na ujuzi wao wa hali ya juu uliofanya maisha yetu ya Cebu, kwa namna kadha wa kadha, kuwa ya kipekee sana-pia tunashukuru sana kwa zawadi ya video iliyochukuliwa kutokea angani.

Inglese

And to Doris Isubal-Mongaya and her team at PRWorks for their extraordinary organisational skills and expert touches that made our time in Cebu special in so many ways—and for the gift of the drone video.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

Mwailishi wa UNHCR nchini Iran akiushukuru mchango wa serikali ya Irani, alionesha shukrani za UNHCR kwa serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya Irani kwa huduma zote ilizozitoa kwa wakimbizi wanaoishi mijini nchini humo, ambao ni idadi kubwa zaidi duniani, katika kipindi cha miongo mitatu, na kuwaingiza wakimbizi kwenye Mpango wa Bima ya Afya, ambao ni mfano mzuri duniani, na kuongeza kwambahuduma kama hizo hazijatolewa kabla na ninaamini kwa dhati kwamba nchi nyingine zitafuata mfano huu.

Inglese

UNHCR’s Representative in Iran acknowledged the Iranian Government’s contribution, expressed UNHCR’s gratitude towards the Government of the Islamic Republic of Iran for all the services it has rendered to the largest protracted urban refugee population in the world for over three decades, and inclusion of the refugees in this Universal Insurance Scheme which is exemplary not only regionally but also globally, and added that such a services haven’t been provided before and I sincerely hope other countries will follow this example.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
4,401,923,520 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK