Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
misa-swaziland anatwiti moja kwa moja mwenendo wa mashitaka dhidi ya mwanasheria wa haki za binadamuthulani maseko na mwandishi wa habari bheki makhubu bila ruhusa ya mahakama nchini swaziland.
misa-swaziland is live tweeting the the trial of human rights lawyer thulani maseko and journalist bheki makhubu for contempt of court in swaziland.
kampeni ya video ifuatayo inamwonesha rais wa rfk center kerry kennedy, askofu mkuu desmond tutu na wanaharakati wengine wa haki za binadamu wakisoma taarifa iliyoandikwa na thulani maseko akiwatetea watu wa swaziland:
the campaign video below shows rfk center president kerry kennedy, archbishop desmond tutu and other human rights activists read the words written by thulani maseko in defence of the swazi people:
#swazijustice ni kampeni inayotoa wito wa kuachiliwa huru kwa bheki makhubu, mhariri wa gazeti la taifa na thulani maseko, mwanasheria wa haki za binadamu, ambao walifungwa jela nchini swaziland kwa miaka miwili kwa sababu ya kuandika makala kukosoa mfumo wa mahakama nchini humo.
#swazijustice is a campaign calling for the release of bheki makhubu, editor of the nation magazine and thulani maseko, a human rights lawyer, who were jailed in swaziland for two years for writing an article critical of the judiciary in the country.