Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
wapo wanaotoka kwenye mji wake wa toronto.
there's her hometown crowd in toronto.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
wazazi wake wana asili ya toronto, na amehamia mogadishu hivi majuzi.
the toronto native moved to mogadishu recently. that's where her parents are from.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
picha kwa hisani ya freesodiqov.org, tovuti iliyoanzishwa na wenzake sodiqov katika chuo kikuu cha toronto.
photo taken from freesodiqov.org, a website set up by sodiqov's colleagues at the university of toronto.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwanini hapakuwepo hata mtu mmoja aliyevaa matambara haya kwenye viwanja vya san fransisco, chicago, toronto na heathrow ambako nilisafiri
why wasn't there a single person wearing a mask at the airports of san francisco, chicago, toronto and heathrow which i have travelled
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
lakini baada ya takribani miaka mitano ya kuigiza akiwa toronto na baadae turkmenistan, mwigizaji huyo mmarekani mwenye asili ya pakistani hajali kama jina hilo linaleta karaha.
but after nearly five years of staging the production from toronto to turkmenistan, the pakistani american actress is less concerned when the ethnic slur raises eyebrows.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
juni 27 kulikuwa na mkutano uliofanyika katika chuo kikuu cha toronto nchini canada, mahali ambapo alex ni mwanafunzi wa shahada ya uzamifu (phd) na mhadhiri msaidizi.
on june 27 there was a meeting held at the university of toronto in canada, where alex is a phd student and teaching assistant.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: