Hai cercato la traduzione di uhamisho da Swahili a Inglese

Swahili

Traduttore

uhamisho

Traduttore

Inglese

Traduttore
Traduttore

Traduci istantaneamente testi, documenti e voce con Lara

Traduci ora

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

uhamisho number_of_transfers

Inglese

uamisho wa shule

Ultimo aggiornamento 2020-12-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

baraza la taifa la elimu ya sekondari lilitoa tamko kulaani uhamisho holela:

Inglese

the national syndicate for secondary education issued a statement condemning the arbitrary transfer:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

yeye ndiye aliye watoa walio kufuru miongoni mwa watu wa kitabu katika nyumba zao wakati wa uhamisho wa kwanza.

Inglese

he it is who drove out the disbelievers among the people of the scripture (i.e. the jews of the tribe of bani an-nadir) from their homes at the first gathering.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

uhamisho wa walimu ulizingatia taarifa za waratibu elimu kupitia kwa magavana na barua za magavana zilieleza kwamba walimu hao walifanya siasa kwa kushiriki mgomo huo batili.

Inglese

the transfer of the teachers was based on directors reports via the governors and the letters of the governors' letters stated that they are inciting strikes and practicing politics.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

tarehe mpya imeingia kwenye historia kwa mgogoro katika sekta ya elimu ambapo walimu 108 wamegomea uhamisho wa adhabu na baraza la elimu likiahidi kufutilia mbali uamuzi huo pamoja na waziri huyu mbunifu katika kutengeneza matatizo na kulimbikiza makosa

Inglese

a new date with a year marked with a crisis in the education sector with 108 teachers refusing punitive transfer and education syndicates promising to make the decision fall and a minister who is very creative in making up crises and accumulating failure

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

yeye ndiye aliye watoa walio kufuru miongoni mwa watu wa kitabu katika nyumba zao wakati wa uhamisho wa kwanza. hamkudhani kuwa watatoka, nao walidhani kuwa ngome zao zitawalinda na mwenyezi mungu.

Inglese

he it is that drave forth those of the people of the book who disbelieved from their homes at the first gathering, ye imagined no that they would go -forth; and they imagined that their fortresses would protect them against allah.

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

kwa upande wake, mohamed ould rabani, katibu mkuu wa baraza hru la walimu wa shule za sekondari, waliuponda uhamisho huo kama hatua ya hatari katika historia ya mauratania na kuwaomba wenzake kutokutii amri ya wizara.

Inglese

for his part, mohamed ould rabani, secretary general of the independent syndicate of secondary education teachers, slammed the transfer as a dangerous precedent in the history of mauritania and asked his colleagues not to conform to the ministry's orders.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Swahili

blogu ya tiguend iliweka shuhuda za walimu walioathirika na uhamisho huo, zilizopewa jina "hii ndiyo sababu kwa nini ninastahili kutimuliwa kazi" ambapo walizungumzia kukiukwa kwa haki kwa uamuzi huo:

Inglese

tiguend blog posts a testimony of one the teachers effected by the transfers, entitled "this is why i deserve the sanction" where he speaks of the injustice of that decision:

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

tunaomba mtusaidie watoto, waliopo hapa wameshakosa msada kwa sababu,wahindi waliokuwa wanawaisaidia wamepata uhamisho. na walikuwa wanapita vigango vingi sana. walikuwa wakiwasaidia daftari,viatu na mavazi mengine. sasa kwenda secondary itakuwa shida sana. na wapo kama 100 hivi lakin wenye akili ambao wakifanya mtihani huwa wanapata a na b wapo kama 30. tunaomba msada na mungu aendelee kubariki huduma hii njema. asante sana. mm ni katekista.

Inglese

i want you to be ready

Ultimo aggiornamento 2024-08-26
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Riferimento: Anonimo

Ottieni una traduzione migliore grazie a
8,944,483,040 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK