Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
haihitaji kuwa na akili nyingi kugundua kuwa akaunti hiyo unaendeshwa na majenerali bandia wa pf kwenye mtandao wa facebook wanaotaka kuitumia kukusanya takwimu.
doesn’t take you to be a genius to figure out this are accounts operated by the pf fake generals on facebook that want to use it to collect data.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mradi huu unaendeshwa kwa ushirikiano na idara ya jiografia ya chuo kikuu cha abdou moumouni kilichopo niamey, wanafunzi wake, open street map, pamoja na rising voices.
this project is being run collectively by the geography department of the abdou moumouni university in niamey, its students, open street map, and rising voices.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwa sasa mradi huo unaendeshwa na watafsiri wa ki-malagasi wapatao 16 miongoni mwao akiwamo mmoja wa watafsiri wadogo kabisa wa global voices , mwenye umri wa miaka 16 aitwaye radifera felana candy.
there are currently 16 active malagasy translators, among them is one of the youngest global voices translator, 16-year-old radifera felana candy.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
watu wasiopungua watatu walikufa na kati ya watu 25 na 30 wamenaswa baada ya kuanguka kwa mgodi ulikuwa unaendeshwa kinyume cha sheria katika idara ya cauca, kusini magharibi mwa colombia, kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari mnamo alhamisi, mei 1.
at least three people died people and between 25 and 30 got trapped after the collapse of an illegally operated mine in the department of cauca, soutwest of colombia, as reported local media on thursday, may 1.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: