Hai cercato la traduzione di unaonyesha da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

unaonyesha

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba mlipuko huo ulitokana na hitilafu ya umeme kwenye eneo hilo.

Inglese

initial investigations suggest that the blast resulted from electric fault in the area.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

israeli imetuingilia majumbani, inapigana katika mitaa yetu na unaonyesha unyama wake dhidi kwa nguvu zote.

Inglese

israel has come into our homes, is fighting us in our streets and is expressing its brutality against us in full force.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ushahidi unaonyesha kwamba covid-19 unaambukiza hata bila dalili, ijapokuwa umbali wake bado unachunguzwa.

Inglese

evidence suggests that covid-19 is contagious even without symptoms, though to what extent is still being investigated.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

muda halisi unaonyesha kwamba ilikuwa ni baada ya polisi na vikosi maalumu vya kutuliza ghasia vilipoanza kupambana na waandamanaji karibu na jengo la bunge.

Inglese

the time stamps indicate that it was after the police and special forces started cracking down on protesters near the parliament.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hata hivyo, uchunguzi kwenye visa 1,099 unaonyesha kwamba kipindi cha kuatamia kwake kilikuwa siku 3 kwa wastani na kilikuwa kati siku 0 hadi 24.

Inglese

however, a study on 1,099 cases demonstrates that the incubation period was 3 days on average and ranged from 0 to 24 days.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

jukumu la waenezaji hawa wasioonyesha dalili katika maambukizo bado halijulikani kabisa, hata hivyo, ushahidi wa awali unaonyesha kuwa wanaweza kuchangia kwa usambazaji wa ugonjwa.

Inglese

the role of these asymptomatic carriers in transmission is not yet fully known; however, preliminary evidence suggests that they may contribute to the spread of the disease.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ukuaji ulio ongezea pato la kuu la mwaka la bara la afrika kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita unaonyesha kwamba ubepari huu wa kimantiki na kibinafsi umejijenga sawia ingawa si kwa usawa barani humu.

Inglese

the growth that fueled the continent's gdp over the past decade indicates that this rational, individualistic capitalism is installed progressively albeit unevenly across the continent.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hukumu ya selebi ni, kwa kuitazama juu juu, ushahidi kwamba mfumo wa sheria za uhalifu kwa mara nyingine unaonyesha uimara wake linapokuja suala la uhalifu unaofanywa na wanasiasa waandamizi.

Inglese

selebi’s conviction is, on the face of it, strong evidence that the criminal justice system is once more showing its steel when it comes to crimes by senior political figures.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mchoro huo unaonyesha pia kwamba nchini bolivia, megabaiti moja kwa sekunde inagharimu kati ya mara 6 na 11 zaidi ya inavyokuwa katika nchi nyingine za jirani kama paraguay, nchi ambayo ina eneo dogo sana la ardhi.

Inglese

it also shows that in bolivia, one mbps costs between 6 and 11 times more than in neighbouring countries including paraguay, also a land-locked country.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

baadhi ya uchunguzi wa mapema wa remdesivir unaonyesha kuwa inaweza kuwa kizuizi kikubwa cha jenitiki. kuna majaribio kadhaa ya kliniki yanayoendelea, ikiwemo mbili yanayofanywa na hospitali za chuo kikuu cha cleveland, moja kwa ajili ya watu wenye magonjwa ya wastani na nyingine kwa watu wenye ugonjwa mkali zaidi.

Inglese

some early pretrial studies suggest remdesivir may have a high genetic barrier to resistance.there are several clinical trials underway, including two conducted by cleveland university hospitals; one for people with moderate illness and another for those with more severe illness.

Ultimo aggiornamento 2020-08-25
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

"nchi nyingi hazina miundombinu inayotumia mtandao wa waya na zinaangalia mitandao ya simu za viganjani kama njia ya mawasiliano… huko nyuma njia nyingine za mawasiliano kama vile redio, zingetumika kufanya kazi kama hii lakini mradi huu wa afrika ya kusini unaonyesha umuhimu wa kuziangalia njia zote ili kuufikia umma."

Inglese

"many countries do not have an established hardwired infrastructure and are looking to the mobile network as means of mass communication…previously other media, such as radio, would have been used for such work but the south african project demonstrates the importance of considering all channels for outreach."

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,745,507,943 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK