Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!"
the people which sat in darkness saw great light; and to them which sat in the region and shadow of death light is sprung up.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
au wale kumi na wanane walioangukiwa na mnara kule siloamu wakafa; mnadhani wao walikuwa wakosefu zaidi kuliko wengine wote walioishi yerusalemu?
or those eighteen, upon whom the tower in siloam fell, and slew them, think ye that they were sinners above all men that dwelt in jerusalem?
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ilikuwa ni uchunguzi huu wa kufahamu zaidi kuhusu watu walioishi katikati ya maeneo haya matupu ndio ulionifanya nirudi mwezi januari 2004, na septemba 2004 nilihamia nouakchott na bado ninaishi hapa.
it was this curiosity of knowing more about the people that lived in the middle of these vast empty spaces that made me come back in january 2004, and in september 2004 i moved to nouakchott and i'm still here.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
misitu imekuwa ikihifadhiwa kwa ajili ya vizazi, shukrani kwa juhudi za watu walioishi kwa amani na ulimwengu uwazungukao, hali iliyochangiwa na maarifa ya mababu zao ya umilikaji wa rasilimali pamoja na ushiriki hai wa kila jamii.
the forest has been preserved for generations, thanks to the work of people who have lived in harmony with the world around them, by means of ancestral knowledge of resource management and active participation of each community.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
dokumentari iitwayo runa kuti iliyoshirikishwa katika mradi wa haki miliki wa “creative commons” kuhusu kutambuliwa kwa wananchi waliotokana na uzao wa wenyeji wa zamani walioishi mjini katika jiji la buenos aires, inatafuta watu wa kujitolea kusaidia kuiwekea video hiyo tafsiri ya maandishi kwenda katika lugha za asili za ajentina kama ki-quechua, ki-aymara, -kimapuche na ki-guaraní pamoja na ki-kiingereza.
the previously featured creative commons documentary runa kuti on the identity of urban dwelling indigenous descendants in the city of buenos aires is looking for volunteers to help them subtitle the documentary into indigenous languages found in argentina such quechua, aymara, mapuche and guaraní as well as into english.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: