Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
kuingia kwa washambuliaji wawili makinda kulibadilisha kabisa mchezo.
the two young substitutes quickly transformed the match.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
januari 2013, alishambuliwa kikatili na washambuliaji ambao hawakujulikana, pengine kutokana na maandiko yake.
in january 2013, he was brutally attacked by unknown assailants, presumably for his writings.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
mtumiaji mwingine wa twitter aliwafananisha washambuliaji na wanamgambo wa vikundi vya al shabaab na boko haram:
another twitter user compared the attackers to militants from the militant groups al shabaab and boko haram:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
wakati washambuliaji na operesheni ikiendelea baadhi ya watu waliisifu anuani ya twita ya @airportpakistan:
emergency declared at all airports # pakistan — dr shahid masood (@shahidmasooddr) june 8, 2014
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
"kijiji kilichoshambuliwa, washambuliaji walienda mpaka vyumbani walikolala watu usiku na kuanza kuwaua."
"the village that was attacked, they actually went right into their bedroom at night when they were sleeping and started killing them."
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
wakati majina ya washambuliaji yakichapishwa sana, wahanga wa tukio hilo wamekuwa wakitajwa kwa tarakimu pekee: 147.
while names of the attackers have been widely published, the victims have often been reduced to a number: 147.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kisha, katika dakika ya 54, yanga walishindwa kuizuia presha kutoka kwa washambuliaji wa simba na kusababisha mshambuliaji wa simba bertram mombeki kwenye nafasi ya kupiga mpira juu ya nyavu, hii kidogo ikaipa timu yake matumaini.
then, in the 54th minute, yanga failed to deal with a speculative punt forward from simba that found striker bertram mombeki in position to blast the ball into the roof of the net, giving his side some hope.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwa bahati mbaya, kama ilivyo kawaida ya uandishi wa habari kadri zinavyotokea, kulikuwa na tarifa za kujichanganya kuhusu idadi hasa ya washambuliaji, pamoja na tetesi kuhusu ndege kulipuliwa au kutekwa, hapa unaweza kuona baadhi ya miitikio kutoka kwneye mtandao wa twita dhidi ya taarifa za utatanishi zilizokuwa zinatangazwa:
irresponsible reporting unfortunately, as is typical of breaking news coverage, there were conflicting reports regarding the number of attackers, as well as other rumors regarding a plane being burned down or hijacked, here are some reactions from twitter in response to shoddy media reports:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: