Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
jambo jingine, amri hii iliruhusu uchunguzi wa kisheria wa watengeneza magitaa, gibsons guitars.
interestingly, this decree allowed for the legal investigation of gibson guitars.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
watengeneza filamu walipotaka kuipeleka nje ya nchi, walimtumia jolie, wakili maarufu wa haki za wanawake barani afrika.
when the filmmakers looked to take it abroad, they sent it to jolie, a well-known advocate for women's rights in africa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
tangu kutolewa amri ya kuzuia miziki yenye matusi, pameanza wimbi la kuunga mkono utengenezwaji wa bidhaa chanya kutoka kwa watengeneza burudani wa kijamaika.
since this public ban on explicit music, support has begun for more positive products to come out of the jamaican entertainment industry.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
sasa, nyenzo ainisho iliyotokana na utafiti, inayochora ramani ya uathirikaji wa sekta ya kilimo afrika kusini uliotokana na mabadiliko na kugeuka geuka kwa tabia nchi, imeundwa kuwasaidia watengeneza sera kutambua jamii ambazo zimo katika hatari ya kuathirika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi na kuzisaidia kujiandaa kwa namna tofauti za ukulima.
now, an analytical tool based on a study, mapping south african farming sector vulnerability to climate change and variability, has been developed to help policy-planners identify the communities most vulnerable to climate change and help them prepare for radically different farming conditions.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
matukio haya yaliandaliwa na wanahabari daniela silva na pedro markun , ni matukio yenye kiingilio bure na yanatoa fursa kwa watengeneza programu za kompyuta, wanahabari na watafiti kukutana pamoja na kutafuta njia za “kukomba’ taarifa kutoka kwenye tovuti rasmi za ofisi na kutengeneza applications ambazo zitaweza kuleta uwazi na ushiriki kwenye mchakato wa siasa.
organized by journalists daniela silva and pedro markun , the event has free entry and is an opportunity for software developers, journalists and researchers to gather together to find ways to “scrape” data from official websites and create applications that bring transparency and participation to the political processes.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: