Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
watumwa wote wanapaswa kuwaheshimu wakuu wao ili kusiwe na sababu ya watu kulitukana jina la mungu na mafundisho yetu.
let as many servants as are under the yoke count their own masters worthy of all honour, that the name of god and his doctrine be not blasphemed.
subhanahu, ametakasika na hayo! bali hao (wanao waita wana) ni watumwa walio tukuzwa.
glory to him! they [those whom they call children of allah i.e. the angels, 'iesa (jesus) son of maryam (mary), 'uzair (ezra), etc.], are but honoured slaves.
kwenye bustani ya watu wanapiga kelele "watumwa!" kwa titushki na kuwaonyesha noti)) wanakasirika na kuondoka
in people are shouting "slaves!" to titushki and show them money)) they get embarrassed and turn their heads away
mnamvumilia hata mtu anayewafanya ninyi watumwa, mtu mwenye kuwanyonya, mwenye kuwakandamiza, mwenye kuwadharau na kuwapiga usoni!
for ye suffer, if a man bring you into bondage, if a man devour you, if a man take of you, if a man exalt himself, if a man smite you on the face.
ingawa mlikuwa watumwa wa dhambi zamani, sasa lakini--namshukuru mungu--mmetii kwa moyo wote yale maazimio na mafundisho mliyopokea.
but god be thanked, that ye were the servants of sin, but ye have obeyed from the heart that form of doctrine which was delivered you.
aliwalazimisha wote, wadogo na wakubwa, matajiri na maskini, watu huru na watumwa, watiwe alama juu ya mikono yao ya kulia au juu ya paji za nyuso zao.
and he causeth all, both small and great, rich and poor, free and bond, to receive a mark in their right hand, or in their foreheads:
ni vyema wakielekeza nguvu zao kwenye masuala yanye uzito, kama vile kuanzisha mfumo wa vyama viwili vya kweli nchini singapore ambapo wananchi hawatachapwa kama watumwa na ambapo wageni wanaingia kwa makundi makubwa na kupotosha moyo wa taifa.
it is better they direct their energies to more worthy cause, like establishing a genuine two-party system in singapore where our citizens are not whipped like slaves and foreigners entering en mass diluting our national spirit.
nao wakamjibu, "sisi ni wazawa wa abrahamu, na hatujapata kamwe kuwa watumwa wa mtu yeyote yule. una maana gani unaposema: mtakuwa huru?"
they answered him, we be abraham's seed, and were never in bondage to any man: how sayest thou, ye shall be made free?
enyi watumwa, watiini wakuu wenu wa kidunia katika mambo yote, na si tu wakati wanapowatazama kwa kuwa mnataka kujipendekeza kwao; ila fanyeni hivyo kwa moyo wote, kwa sababu ya kumcha bwana.
servants, obey in all things your masters according to the flesh; not with eyeservice, as menpleasers; but in singleness of heart, fearing god: