Hai cercato la traduzione di zelalem da Swahili a Inglese

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

English

Informazioni

Swahili

zelalem

English

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Inglese

Informazioni

Swahili

picha kutoka blogu ya zelalem.

Inglese

photo from zelalem's blog.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

zelalem, yonatan, bahiru and abraham.

Inglese

zelalem, yonatan, bahiru and abraham.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

zelalem kiberet akiwa na umri wa miaka 25.

Inglese

zelalem kiberet at 25.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

hawa ni zelalem workagenegu, yonatan wolde and bahiru degu.

Inglese

these are zelalem workagegnehu, yonatan wolde and bahiru degu.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

nilijiona mwenye bahati sana kwa kutokea kufanya kazi na zelalem.

Inglese

i consider myself very lucky to have worked with zelalem.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

befeqadu na mimi tuliwasili wa kwanza, na baadae zelalem alijumuika nasi.

Inglese

befeqadu and i arrived first and then zelalem joined us.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wanablogu wa zone 9 zelalem kibret, edom kasaye, na befeqadu hailu.

Inglese

zone 9 bloggers zelalem kibret, edom kasaye, and befeqadu hailu.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

zelalem, yonathan na bahiru wanatarajiwa kusomewa mashtaka yao kati ya novemba 7-9, 2015.

Inglese

the next court appearance of zelalem, yonatan and bahiru is monday, 23 november 2015.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

zelalem, mshitakiwa wa kwanza, ni mhadhiri na mwanaharakati wa haki za binadamu anayeblogu kwenye blogu ya debirhan.

Inglese

zelalem, the first defendant, is an academic and a human rights activist who blogs at debirhan.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

zelalem alikuwa mhitimu katika kitivo cha sheria katika chuo kikuu cha addis ababa na pia alikuwa akifundisha masual ya sheria katika chuo kikuu cha ambo.

Inglese

zelalem was a graduate student at the school of law of addis ababa university, and also taught law at ambo university.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

wakati kesi ya zone9 inabaki kuwa ya aina yake nchini ethiopia, habari kama za zelalem zinaleta picha kwamba masuala yanayowakabili wanablogu hawa yanavuka mipaka ya makosa binafsi ya watu wachache.

Inglese

while zone9 remains among ethiopia's best-known case of its kind, stories like that of zelalem demonstrate that the issues these bloggers face extend far beyond a few individuals.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

acheni kutesa watu kwa kutafuta mafunzo ya usalama mtandaoni ama kutumia teknolojia za kuficha taarifa zao. mwachieni huru zelalem workagegnehu, yonatan wolde, abraham solomon, na bahiru degu.

Inglese

end the prosecution of individuals for pursuing security training and using encryption technologies, and free zelalem workagegnehu, yonatan wolde, abraham solomon, and bahiru degu.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

mwaka 2013, edom, befeqadu, zelalem pamoja na mimi tulifanya kazi ya pamoja ya kuandaa taarifa ya hali ya uhuru wa kujieleza nchini ethiopia ambayo baadae iliwasilishwa kwenye tume ya umoja wa mataifa ya haki za bidamu kwa ajili ya mapitio yao ya jumla ya mara kwa mara.

Inglese

in 2013, edom, befeqadu, zelalem and i worked together to produce a report on the state of freedom of expression in ethiopia which later was submitted to united nations commission on human rights for their universal periodic review.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

alitiwa kizuizini nchini ethiopia mnamo tarehe 25 april, 2014 akiwa na wenzake abel wabela, befeqadu hailu, mahlet fantahun, zelalem kibret, na natnael feleke (wote wakiwa katika ushirika wa kublogu wa zone 9) pamoja na waandishi wa habari, asmamaw hailegeorgis, tesfalem waldyes na edom kassaye.

Inglese

he was arrested in ethiopia on april 25 and 26, 2014 alongside abel wabela, befeqadu hailu, mahlet fantahun, zelalem kibret, and natnael feleke (all members of the zone 9 blogging collective) and journalists asmamaw hailegeorgis, tesfalem waldyes and edom kassaye.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,788,833,740 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK