Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
maana mwana wa mtu alikuja kuwaokoa wale waliopotea.
venit enim filius hominis salvare quod periera
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
nipate kuwafanya wananchi wenzangu wawaonee ninyi wivu, na hivyo nipate kuwaokoa baadhi yao.
si quo modo ad aemulandum provocem carnem meam et salvos faciam aliquos ex illi
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwao walio dhaifu nimejifanya dhaifu ili niwapate hao walio dhaifu. nimejifanya kila kitu kwa wote ili nipate kuwaokoa baadhi yao kwa kila njia.
factus sum infirmis infirmus ut infirmos lucri facerem omnibus omnia factus sum ut omnes facerem salvo
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
nimeyaona mabaya wanayotendewa watu wangu kule misri. nimesikia kilio chao, nami nimekuja kuwaokoa. basi sasa, nitakutuma misri.
videns vidi adflictionem populi mei qui est in aegypto et gemitum eorum audivi et descendi liberare eos et nunc veni et mittam te in aegyptu
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kwa hiyo, basi, bwana anajua jinsi ya kuwaokoa katika majaribu watu wanaomcha mungu, na jinsi ya kuwaweka waovu katika adhabu hadi siku ile ya hukumu,
novit dominus pios de temptatione eripere iniquos vero in diem iudicii cruciandos reservar
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
vivyo hivyo kristo naye alijitoa dhabihu mara moja tu kwa ajili ya kuziondoa dhambi za wengi. atakapotokea mara ya pili si kwa ajili ya kupambana na dhambi, bali ni kwa ajili ya kuwaokoa wale wanaomngojea.
sic et christus semel oblatus ad multorum exhaurienda peccata secundo sine peccato apparebit expectantibus se in salute
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
akaniambia: paulo usiogope! ni lazima utasimama mbele ya kaisari; naye mungu, kwa wema wake, amekufadhili kwa kuwaokoa wote wanaosafiri nawe wasiangamie.
dicens ne timeas paule caesari te oportet adsistere et ecce donavit tibi deus omnes qui navigant tecu
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
maana, kadiri ya hekima ya mungu, watu hawawezi kumjua mungu kwa njia ya hekima yao wenyewe. badala yake, mungu amependa kuwaokoa wale wanaoamini kwa njia ya kile ambacho wenye hekima wanakiona kuwa ni upumbavu, yaani ujumbe tunaohubiri.
nam quia in dei sapientia non cognovit mundus per sapientiam deum placuit deo per stultitiam praedicationis salvos facere credente
Ultimo aggiornamento 2012-05-04
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: