Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
mradi huo ulianza mwezi septemba 12, 2007 ukiwa kati ya miradi ya mwanzo kabisa ya mradi mkubwa wa lugha za kiafrika.
o projeto começou em 12 de setembro de 2007 , sendo o primeiro site do projeto lingua na África.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
umati wa watu walipoona alichofanya paulo, ulianza kupiga kelele kwa lugha ya kilukaonia: "miungu imetujia katika sura za binadamu!"
as multidões, vendo o que paulo fizera, levantaram a voz, dizendo em língua licaônica: fizeram-se os deuses semelhantes aos homens e desceram até nós.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
tulichakua kwa makini kabisa makala zilizokuwa bora zaidi kutoka katika mfululizo wetu wa kuhusu mgogoro wa kiuchumi wa ulaya ambapo mfululizo huo ulianza majira ya machipuo ya 2011, na kuandikwa na vikundi vya waandishi wetu wa kimataifa wanaofanya kazi kwa bidii kama waandishi wa kiraia.
escolhemos cautelosamente e compilamos os melhores artigos da nossa cobertura especial europa em crise, lançada na primavera de 2011, e alimentada por uma equipa internacional de cidadãos-repórteres.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
basi, upepo mzuri wa kusi ulianza kuvuma, nao wakadhani wamefanikiwa lengo lao; hivyo wakang'oa nanga, wakaiendesha meli karibu sana na pwani ya krete.
soprando brandamente o vento sul, e supondo eles terem alcançado o que desejavam, levantaram ferro e iam costeando creta bem de perto.
Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
baada ya mashambulizi ya askari wa kutuliza ghasia, umati ulianza kuchoma matairi katika barabara inayoelekea mji jirani wa beira munhava (16/11/2013).
após o ataque da força policial, a multidão ateou fogo a pneus nas vias que levavam ao bairro da munhava, na beira. (16/11/2013).
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: