Hai cercato la traduzione di kuaminika da Swahili a Russo

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

Russian

Informazioni

Swahili

kuaminika

Russian

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Russo

Informazioni

Swahili

hakika adhabu ya mola wao mlezi si ya kuaminika nayo.

Russo

(ведь) поистине наказание их Господа не безопасно! –

Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 4
Qualità:

Swahili

ni lazima ashike kikamilifu ujumbe ule wa kuaminika kama unavyofundishwa. ndivyo atakavyoweza kuwatia wengine moyo kwa mafundisho ya kweli na kuyafichua makosa ya wale wanaoyapinga mafundisho hayo.

Russo

держащийся истинного слова, согласного с учением, чтобы он был силен и наставлять в здравом учениии противящихся обличать.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

dhana ya kwamba taarifa zote si za kuaminika, na kuwa vyanzo vyote hupendelea upande fulani, imeweza kuwa na madhara ya makusudi ili kuhakikisha kwamba kila uvumi unachukuliwa maanani.

Russo

Предположение, что вся информация ненадежна, а все ресурсы необъективны, имеет обратный эффект: каждый слух воспринимается всерьез.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

usemi huu ni wa kuaminika, na tena unafaa kukubaliwa kabisa: kristo yesu alikuja ulimwenguni kuwaokoa wenye dhambi. nami ni mkosefu zaidi kuliko hao wote,

Russo

Верно и всякого принятия достойно слово, что Христос Иисус пришел в мир спасти грешников, из которых я первый.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

ziko habari za kuaminika kwamba kuna uzinzi miongoni mwenu; tena ni uzinzi mbaya ambao haujapata kuwako hata kati ya watu wasiomjua mungu. nimeambiwa eti mmoja wenu anaishi na mke wa baba yake!

Russo

Есть верный слух, что у вас появилось блудодеяние, и притом такое блудодеяние, какого не слышно даже у язычников, что некто вместо жены имеет жену отца своего.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kisha malaika akaniambia, "maneno haya ni ya kweli na ya kuaminika. bwana mungu ambaye huwapa manabii roho wake, alimtuma malaika wake awaonyeshe watumishi wake mambo ambayo lazima yatukie punde.

Russo

И сказал мне: сии слова верны и истинны; и Господь Бог святых пророков послал Ангела Своего показать рабам Своим то, чему надлежит быть вскоре.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

kisha yule aliyeketi juu ya kiti cha enzi akasema, "tazama, nafanya yote mapya." tena akaniambia, "andika hili, maana maneno haya ni ya kuaminika na ya kweli!"

Russo

И сказал Сидящий на престоле: се, творю все новое. И говорит мне: напиши; ибо слова сии истинны и верны.

Ultimo aggiornamento 2012-05-06
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,743,359,523 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK