Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
alitabasamu kwa ufahamu na kuijongelea meza yangu.
sonrió de manera cómplice y se acercó a mi mesa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
na ikasemwa: ewe ardhi! meza maji yako.
y se dijo: «¡traga, tierra, tu agua!
Ultimo aggiornamento 2014-07-03
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
tulikuwa tumekaa kwenye meza iliyokuwa karibu na mlango.
estábamos sentados en una mesa cerca de la puerta.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
ulimwengu ulikuwa pamoja kumfanya kony kuwa maarufu na kuweka suala la unyanyasaji la lra juu ya meza ya umaarufu na maslahi ya kisiasa.
el mundo estaba preparado. juntos hicimos famoso a kony y pusimos sobre la mesa la violencia del lra, tema de interés popular y político.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
“nchi hiyo iko kwenye hatari ya kuwa na mfululizo wa matukio ya ghasia kama hatua hazitachukuliwa kuzileta pande zinazosuguana kwenye meza ya mazungumzo.
“el país corre el riesgo de descender en una espiral de violencio a menos que se tomen medidas para traer a las partes en conflicto a negociar.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
kisichofahamika, bila shaka, ni muda uliotumiwa kubuni na katika uundaji wa katuni, na pia upangiliaji wa vifaa vilivyokuwa juu ya meza.
sin ninguna duda, esta historia esconde horas de trabajo de diseño y animación, así como una coreografía muy cuidada de los aparatos sobre la mesa.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
na hivi leo, nilimuona akiwasaidia watu kuhamisha cherehani, meza na mapakacha ya makabrasha yao kuyapeleka mbali zaidi hapa barabarani kwetu wakati serikali ilipokuwa inakuja na magari ya kubomoa.
y entonces hoy, lo vi ayudar a la gente a mover sus máquinas de coser, sus mesas, sus bolsas con cosas lejos por nuestro camino mientras el gobierno llegaba con el buldózer.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
felix okoli lanaweka mzigo kwenye meza ya tume ya uchaguzi ya naijeria (inec) na hasa mkubwa wa tume hiyo attahiru jega:
felix okoli deja el mayor peso en la mesa de la comisión electoral nacional independiente (inec) y, en particular sobre su jefe attahiru jega:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità: