Hai cercato la traduzione di maagizo da Swahili a Tedesco

Traduzione automatica

Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.

Swahili

German

Informazioni

Swahili

maagizo

German

 

Da: Traduzione automatica
Suggerisci una traduzione migliore
Qualità:

Contributi umani

Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.

Aggiungi una traduzione

Swahili

Tedesco

Informazioni

Swahili

wape maagizo hayo na mafundisho hayo.

Tedesco

solches gebiete und lehre.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yesu akawajibu, "mose aliwapa maagizo gani?"

Tedesco

er antwortete aber und sprach: was hat euch mose geboten?

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

wape maagizo haya, wasije wakawa na lawama.

Tedesco

solches gebiete, auf daß sie untadelig seien.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

maana mnayajua yale maagizo tuliyowapeni kwa mamlaka ya bwana yesu.

Tedesco

denn ihr wisset, welche gebote wir euch gegeben haben durch den herrn jesus.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.

Tedesco

vergeblich aber ist's, daß sie mir dienen, dieweil sie lehren solche lehre die nichts ist denn menschengebot.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

nawapeni hongera kwa sababu mnanikumbuka na kwa sababu mnayashikilia yale maagizo niliyowapeni.

Tedesco

ich lobe euch, liebe brüder, daß ihr an mich denkt in allen stücken und haltet die weise, wie ich sie euch gegeben habe.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu."

Tedesco

aber vergeblich dienen sie mir, dieweil sie lehren solche lehren, die nichts denn menschengebote sind."

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

wasiendelee kushikilia hadithi tupu za kiyahudi na maagizo ya kibinadamu yanayozuka kwa watu walioukataa ukweli.

Tedesco

und nicht achten auf die jüdischen fabeln und gebote von menschen, welche sich von der wahrheit abwenden.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yeye hakufanywa kuwa kuhani kwa sheria na maagizo ya kibinadamu, bali kwa nguvu ya uhai ambao hauna mwisho.

Tedesco

welcher nicht nach dem gesetz des fleischlichen gebots gemacht ist, sondern nach der kraft des unendlichen lebens.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

walipokuwa wanapita katika ile miji waliwapa watu yale maagizo yaliyotolewa na mitume na wazee kule yerusalemu, wakawaambia wayazingatie.

Tedesco

wie sie aber durch die städte zogen, überantworteten sie ihnen, zu halten den spruch, welcher von den aposteln und den Ältesten beschlossen war.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kutokana na maagizo hayo, huyo askari aliwaweka katika chumba cha ndani kabisa cha gereza na kuifunga miguu yao kwenye nguzo.

Tedesco

der, da er solches gebot empfangen hatte, warf sie in das innerste gefängnis und legte ihre füße in den stock.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwa imani yosefu alipokuwa karibu kufa, alinena juu ya kutoka kwa waisraeli katika nchi ya misri, na pia akawaachia maagizo kuhusu mifupa yake.

Tedesco

durch den glauben redete joseph vom auszug der kinder israel, da er starb, und tat befehl von seinen gebeinen.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

nilikuacha krete ili urekebishe yale mambo ambayo hayakuwa yamekamilika bado, na kuwateua wazee wa kanisa katika kila mji. kumbuka maagizo yangu:

Tedesco

derhalben ließ ich dich in kreta, daß du solltest vollends ausrichten, was ich gelassen habe, und besetzen die städte hin und her mit Ältesten, wie ich dir befohlen haben;

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

yesu aliwatuma hao kumi na wawili na kuwapa maagizo haya: "msiende kwa watu wa mataifa mengine, wala msiingie katika mji wa wasamaria.

Tedesco

diese zwölf sandte jesus, gebot ihnen und sprach: gehet nicht auf der heiden straße und ziehet nicht in der samariter städte,

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

nikiwa bado nawapeni maagizo haya, siwezi hata kidogo kuwapa ninyi hongera kuhusu haya yafuatayo: mikutano yenu ninyi waumini yaleta hasara zaidi kuliko faida.

Tedesco

ich muß aber dies befehlen: ich kann's nicht loben, daß ihr nicht auf bessere weise, sondern auf ärgere weise zusammenkommt.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

kwani haya yote yanahusika na vyakula, vinywaji na taratibu mbalimbali za kutawadha. yote hayo ni maagizo ya njenje tu; na nguvu yake hukoma wakati mungu atakaporekebisha vitu vyote.

Tedesco

allein mit speise und trank und mancherlei taufen und äußerlicher heiligkeit, die bis auf die zeit der besserung sind aufgelegt.

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

lakini yeye akaniambia, "acha! mimi ni mtumishi tu kama wewe na ndugu zako manabii na wote wanaoyatii maagizo yaliyomo katika kitabu hiki. mwabudu mungu!"

Tedesco

und er spricht zu mir: siehe zu, tu es nicht! denn ich bin dein mitknecht und deiner brüder, der propheten, und derer, die da halten die worte dieses buchs. bete gott an!

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta

Swahili

tunapongeza juhudi isiyo na vurugu ya kampeni ya bds (www.bdsmovement.net) na kuonyesha mshikamano wetu na mahitaji yake kwamba israeli inapaswa kuzingatia maagizo ya sheria za kimataifa kwa:

Tedesco

bereits die israelische besetzung der palästinensischen gebiete ist rechtswidrig, so wie es die internationale staatengemeinschaft in mehreren un-resolutionen erklärt hat.

Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Swahili

aristarko, ambaye yuko kifungoni pamoja nami, anawasalimuni; hali kadhalika marko, binamu yake barnaba, (mmekwisha pata maagizo juu yake; akifika kwenu mkaribisheni).

Tedesco

es grüßt euch aristarchus, mein mitgefangener, und markus, der neffe des barnabas, über welchen ihr etliche befehle empfangen habt (so er zu euch kommt, nehmt ihn auf!)

Ultimo aggiornamento 2012-05-05
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:

Ottieni una traduzione migliore grazie a
7,772,910,302 contributi umani

Ci sono utenti che chiedono aiuto:



I cookie ci aiutano a fornire i nostri servizi. Utilizzando tali servizi, accetti l'utilizzo dei cookie da parte nostra. Maggiori informazioni. OK