Imparare a tradurre dagli esempi di traduzione forniti da contributi umani.
Da traduttori professionisti, imprese, pagine web e archivi di traduzione disponibili gratuitamente al pubblico.
ninataka kusafiri kwenda marekani na kukutembelea
ich möchte in die usa reisen und dich besuchen
Ultimo aggiornamento 2023-02-13
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
mshindi hupata senti 2,009 za marekani!
die gewinner erhalten jeweils 2009 us-cent!
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
san francisco, califonia marekani - 12 julai, 2014.
san francisco, usa - 12. juli 2014.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
na anatundika habari za kina kutoka ikulu ya marekani:
er postet einzelheiten aus dem weißen haus:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
watoto hawahusishwi kwenye magereza yote isipokuwa mawili tu nchini marekani.
kinder werden in dem meisten us-gefängnissen nicht aufgenommen.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
marekani: wanawake walio kwenye uchungu wa kuzaa hawatafungwa tena minyororo.
gibt, die keine medizinische hilfe erhalten?
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
hati hiyo ya malalamiko inayowalenga wanadiplomasia wa marekani na uingereza inasomeka kama ifuatavyo:
die an wichtige britische und us-amerikanische diplomaten gerichtete petition lautet:
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kaka wa mhadhiri huyo, carolos pereira, anayeishi lisbon, aliiambia sauti la marekani :
der bruder der professorin, carlos pereira, der in lissabon wohnt, erzählte der webseite voz da américa :
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
marekani ya kati na kusini hifadhi ya lugha ya kushangaza kabisa ya lugha ya kĩsêdjê inaundwa nchini brazili.
mittel- und südamerika eine bahnbrechende sprachdokumentation der kĩsêdjê-sprache ist in brasilien gelungen.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
erik alifanya kazi na ikulu ya marekani katika kuandaa mikakati ya nyenzo mpya za habari kwa ajili ya ghana na afrika.
hersman unterstützte das weißen haus bei der entwicklung seiner neuen medienstrategie für ghana und afrika.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kuvitazama vyanzo vya habari vilivyo na msimamo mkali kama vile kayhan au vatan emrooz kunafanana na kufuatilia fox news nchini marekani.
die reaktionen von vatan emrooz auf der titelseite von donnerstag, 23. april 2015, zum ende der saudischen luftangriffe.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
ahmed aliishi kwa muda kwenye kambi ya wakimbizi ya ifo kabla ya kupewa makazi huko colorado nchini marekani ambako alipewa uraia kamili wa marekani.
ahmed lebte eine weile im ifo flüchtlingscamp und wurde dann umgesiedelt nach colorado in den vereinigten staaten, wo ihm die us staatsbürgerschaft gewährt wurde.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
barua ilidai kwamba mipango ya kuleta mhusika kama huyo ambaye ni mwathirika wa ukimwi nchini marekani haikuwa sahihi, kwa kuzingatia umri wa watazamaji.
in dem brief wurde gegen die geplante einführung einer ähnlichen hiv-positiven figur in den vereinigten staaten protestiert. dies sei angesichts des alters des publikums unangemessen.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
ikulu ya marekani itatengeneza “tukio” la facebook kutokana na hotuba ambapo washiriki kutoka ulimwengu mzima wanaweza kujibishana.
das weiße haus wird auf facebook außerdem eine „veranstaltung“ auf facebook zur rede erstellen, bei der sich teilnehmer aus aller welt treffen können.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kama una kitu mihumu cha kuficha, basi umefika; hizi ni zana ambazo edward snowden alizitumia katika siri zake maarufu kuhusu sirika la ujasusi la marekani nsa.
und wenn man etwas wichtiges geheim zu halten hat, befindet man sich in guter gesellschaft, denn dies hier sind dieselben instrumente, auf die auch edward snowden zurückgegriffen hat, um seine weit bekannten geheimnisse zur nsa zu verbreiten.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
@nezar: kituo cha jazeera kwa muda wa hivi karibuni kimekuwa cha kiislamu kama ambavyo fox news kimekuwa cha wahafidhina wa republican nchini marekani kwa miaka mingi.
@nezar: al jazeera ist für islamisten in Ägypten das geworden, was fox news seit jahren für fundamentalistische republikaner in den usa ist.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kwa kipindi cha nyuma, afsc iliwapendekeza akina desmond tutu, martin luther king jr., na rais wa marekani, jimmy carter, ambao wote walifanikiwa kushinda tuzo hii.
in der vergangenheit nominierte das afsc desmond tutu, martin luther king jr. und us-präsident jimmy carter, die alle mit dem friedensnobelpreis ausgezeichnet wurden.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
mpango wa siri wa marekani wa kubadili utawala nchini cuba wenye huduma ya ujumbe inayofanana na twita iitwayo zunzuneo sasa unaangaliwa kwa mashaka baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa maelfu ya wa-cuba walidanganyika kujisajili kupata huduma hizo.
ein geheimer plan der usa, den regimewechsel in kuba mithilfe des twitter ähnlichen kurznachrichtendienstes zunzuneo herbeizuführen, ist nun ins zentrum der aufmerksamkeit gerückt, nachdem nachrichtenberichte bekannt gaben, dass tausende kubaner unter falschen vorwänden dazu verleitet worden waren, sich bei dem dienst anzumelden.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
kuanzia vita dhidi ya sopa na pipa huko marekani hadi juhudi za kimataifa zilizomaliza mkataba wa kupinga biashara ya fedha bandia (acta), tumefikia nyakati za uwazi wa uhuru wa mtandaoni.
angefangen bei dem kampf gegen sopa und pipa in den usa bis zu globalen bemühungen, die das "anti-counterfeiting trade agreement" (acta) abgewendet haben, haben wir einen zeitgeist der internetfreiheit und -offenheit erreicht.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento:
Attenzione: contiene formattazione HTML nascosta
mwezi julai tutakua tukizungumzia kwa mapana kabisa mambo yanayohusiana na uhamiaji: kutoka kwenye mswada wa uhamiaji ambao kwa sasa unajadiliwa katika bunge la marekani, hadi kwenye habari kuhusu safari ngumu na ndefu za wahamiaji kutoka kaskazini mwa amerika kupitia amerika ya kati hadi nchini mexico.
im juli werden wir eine fülle von migrationsbezogenen themen behandeln: vom einwanderungsgesetz, das derzeit im us-kongress diskutiert wird, bis zu den geschichten der menschen, welche die beschwerliche und gefährliche reise in richtung norden durch zentralamerika und mexiko antreten.
Ultimo aggiornamento 2016-02-24
Frequenza di utilizzo: 1
Qualità:
Riferimento: