検索ワード: akina (スワヒリ語 - アラビア語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

Arabic

情報

Swahili

akina

Arabic

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

アラビア語

情報

スワヒリ語

enyi akina mama, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo bwana.

アラビア語

ايتها النساء اخضعن لرجالكنّ كما يليق في الرب.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ninazidi kuchoshwa na habari za fox news zinazoniambia kuwa adui zangu ni akina nani.

アラビア語

لم يكن لديّ أدنى فكرة بأنّ هناك الكثير من "الآخرين" هناك!

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

nanyi akina baba, msiwachukize watoto wenu ila waleeni katika nidhamu na mafundisho ya kikristo.

アラビア語

وانتم ايها الآباء لا تغيظوا اولادكم بل ربوهم بتأديب الرب وانذاره.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini hawataweza kuendelea zaidi kwa maana upumbavu wao utaonekana wazi kwa wote. ndivyo ilivyokuwa kwa akina yane na yambre.

アラビア語

لكنهم لا يتقدمون اكثر لان حمقهم سيكون واضحا للجميع كما كان حمق ذينك ايضا

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mungu aliwakasirikia akina nani kwa miaka arobaini? aliwakasirikia wale waliotenda dhambi, maiti zao zikatapakaa kule jangwani.

アラビア語

ومن مقت اربعين سنة. أليس الذين اخطأوا الذين جثثهم سقطت في القفر.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

naye stefano akasema, "ndugu zangu na akina baba, nisikilizeni! mungu alimtokea baba yetu abrahamu alipokuwa kule mesopotamia kabla hajaenda kukaa kule harani.

アラビア語

‎فقال ايها الرجال الاخوة والآباء اسمعوا. ظهر اله المجد لابينا ابراهيم وهو في ما بين النهرين قبلما سكن في حاران

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

nyimbo za aina hii huimbwa katika hali za aina zote, si tu wakati mtoto anatafuta usingizi. kwa mfano, akina mama wakati mwingine wanaimba wakiwa wakifanya kazi, ili kuwafanya watoto wao watulie na kuwapa nafasi ya kufanya kazi.

アラビア語

تعتقد كاثي أن أقدم تهليلة تنتمي لعصر ما قبل الميلاد حيث عثر الباحثون على نماذج لتهويدات في أقدم الأعمال الأدبية في التاريخ.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inasikitisha sana, wengi wa wa-ingereza wanaounga mkono wanawake na akina dada walio kwenye eneo la tukio hawana taarifa halisi za habari za vita inayoendelea kule; habari ambayo inatokana na afghanistan yenyewe.

アラビア語

للأسف، أغلب سكان بريطانيا الذين يؤيدون الشباب والفتيات على الأرض ليس لديهم فكرة حقيقة عن حكاية الحرب هناك؛ حكاية أفغانستان.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mapema juma lililopita, wakati wa uzinduzi wa mkutano juu ya chanjo ya ukimwi ya kimataifa ya 2008 (international aids vaccine 2008) huko cape town, hogan, alitangaza hadharani kwamba vvu husababisha ukimwi na kwamba ni lazima kukabiliana nao kwa kutumia dawa za hospitalini. pia alieleza kwamba serikali ilikuwa na nia ya dhati kuongeza nguvu katika programu za kuzuia uambukizaji wa kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, dawa zinazozuia akina mama wajawazito wenye vvu kuwapatia watoto wao ambao hawajazaliwa maambukizo na kueleza kwamba chango madhubuti ya vvu ilikuwa ikihitajika mno.

アラビア語

وقالت هوغان بشكل علني في وقت سابق من هذا الأسبوع في افتتاح مؤتمر لقاح الإيدز 2008 في كيب تاون أن فيروس نقص المناعة البشرية يسبب مرض الإيدز ويجب علاجه باستخدام الطب التقليدي، وأضافت قائلة أن الحكومة ملتزمة بالعمل على زيادة برامج منع انتقال الفيروس من الأم إلى الجنين، وأكدت على الحاجة الملحة لتطوير لقاح فعال لللإيدز.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,734,934,963 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK