検索ワード: huwa (スワヒリ語 - イタリア語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

Italian

情報

Swahili

huwa

Italian

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

イタリア語

情報

スワヒリ語

basi huwa.

イタリア語

la sua parola è verità.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hakika mtu bila ya shaka huwa jeuri

イタリア語

invero l'uomo si ribella,

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini aliyejiunga na bwana huwa roho moja naye.

イタリア語

ma chi si unisce al signore forma con lui un solo spirito

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tazama picha za afghanistan ambazo huwa huzioni

イタリア語

l'afghanistan come non l'avete mai visto

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

pakiti zingine, katika dawa hizi huwa ni za kuchekesha sana.

イタリア語

alcuni errori di confezionamento su farmaci contraffatti sono piuttosto comici.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

anapo wafikishia awatakao katika waja wake, mara hao huwa na furaha.

イタリア語

quando poi ha fatto sì che cadano su chi vuole tra i suoi servitori, questi ne traggono lieta novella,

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini picha hizo kwa ujumla huwa zinaonyesha upande hasi wa mgogoro nchini humo.

イタリア語

generalmente queste immagini tendono a mostrare soprattutto il lato negativo del conflitto.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa hakika sababu ni ile ile ya kwa nini vilabu 20 vya ligi kuu huwa havifuzu ligi ya mabingwa.

イタリア語

per la stessa ragione per cui non tutte e 20 le squadre della premier league accedono alla champions league.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

(vijana) hulalamika kwa haraka lakini huwa hawafanyi lolote kuhusu malalamiko yao.

イタリア語

sempre pronti a criticare, raramente pragmatici.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

anaweza kuanza kuzungumzia jua kwa mfano, na anaweza kuhitimisha kwa kuiongelea yoga, maarifa ambayo huwa anayafundisha gerezani.

イタリア語

egli, ad esempio, inizia a parlare del sole e potrebbe facilmente finire parlando di yoga, disciplina che enrique insegna in prigione.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

haikwepeki kwamba, habari nyingi ambazo huwa hazipati usomaji mkubwa kuliko zinavyostahili zinatoka kwenye nchi ambazo hupuuzwa na vyombo vikuu vya habari.

イタリア語

inevitabilmente, molte storie che non ottengono quella visibilità che invece meriterebbero, soprattutto nel caso di nazioni generalmente trascurate dalle grsndi testate internazionali.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hakika wale wamchao mungu, zinapo wagusa pepesi za shet'ani, mara huzindukana na hapo huwa wenye kuiona haki.

イタリア語

in verità coloro che temono [allah], quando li coglie una tentazione, lo ricordano ed eccoli di nuovo lucidi.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

aliniambia kuwa, katika gereza la kality, mahali ambapo eskinder nega anaposhikiliwa, walinzi huwa wana utaratibu wa kuwahesabu wafungwa kwa kutumia filimbi za asubuhi.

イタリア語

mi aveva detto che nel carcere de kality, dove si trova rinchiuso eskinder nega, ogni mattina le guardie contano i carcerati utilizzando dei fischietti.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa hiyo sisi na tusiwe tukihukumiana tena, bali badala yake fanyeni hili kuwa uamuzi wenu, kutokuweka mbele ya ndugu kikwazo au sababu ya kujikwaa. najua nami nasadikishwa katika bwana yesu kwamba hakuna kitu ambacho ndani yake chenyewe ni najisi; ni pale tu ambapo mtu anakiona kitu kuwa najisi, kwake yeye hicho huwa najisi. kwa maana ikiwa ndugu yako anahuzunishwa kwa sababu ya chakula, wewe hutembei tena kupatana na upendo. kwa chakula chako usimwangamize yule ambaye kristo alikufa kwa ajili yake. kwa hiyo, msiache msemwe vibaya kwa mema mnayofanya. kwa maana ufalme wa mungu haumaanishi kula na kunywa, bali unamaanisha uadilifu na amani na shangwe pamoja na roho takatifu. kwa maana yeye ambaye kwa habari hii anamtumikia kristo anakubalika kwa mungu naye ana kibali cha wanadamu.

イタリア語

perciò non giudichiamoci più gli uni gli altri, ma sia piuttosto questa la vostra decisione, di non mettere davanti al fratello pietra d’inciampo o causa per incespicare. io so e sono persuaso nel signore gesù che nulla in se stesso è contaminato; solo se un uomo considera qualcosa contaminato, per lui è contaminato. poiché se a causa del cibo il tuo fratello è addolorato, tu non cammini più secondo l’amore. non rovinare per il tuo cibo uno per il quale cristo morì. non lasciate dunque che del bene che fate si parli a vostra ingiuria. poiché il regno di dio non significa mangiare e bere, ma significa giustizia e pace e gioia con spirito santo. poiché chi a questo riguardo è schiavo di cristo è accettevole a dio e ha l’approvazione degli uomini.

最終更新: 2013-03-07
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

人による翻訳を得て
7,739,342,145 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK