検索ワード: kujifungua (スワヒリ語 - スペイン語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

Spanish

情報

Swahili

kujifungua

Spanish

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

スペイン語

情報

スワヒリ語

walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia,

スペイン語

aconteció que, mientras ellos estaban allí, se cumplieron los días de su alumbramiento

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

yote hayo ni kama mwanzo wa maumivu ya kujifungua mtoto.

スペイン語

pues todas estas cosas son principio de dolores

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati wa kujifungua kwake elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume.

スペイン語

se cumplió para elisabet el tiempo de su alumbramiento, y dio a luz un hijo

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

alikuwa mja mzito, na akapaaza sauti kwa maumivu na uchungu wa kujifungua mtoto.

スペイン語

y estando encinta, gritaba con dolores de parto y sufría angustia por dar a luz

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

changamoto katika huduma muhimu za kujifungua na kutunza watoto wachanga huduma zilikuwa sawa katika tacloban na leyte.

スペイン語

los desafíos a la hora de prestar una asistencia fundamental en los partos y en los servicios de cuidado de neonatos eran particularmente grandes en tacloban y leyte.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

waliishi dar es salaam lakini walikuwa nairobi kwa ajili ya kujifungua kwa sababu ya kuziamini zaidi huduma za afya jijini humo.

スペイン語

vivían en dar es salaam pero estaban en nairobi para tener a su bebé ahí porque preferían los servicios de salud de esa ciudad.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika taarifa ya hivi karibuni, kundi lilionyesha kwa nini wengi wa wana lao vijijini huchaguakujifungua nyumbani badala ya kujifungua katika vituo vya afya.

スペイン語

en una reciente actualización, el grupo destacó por qué muchas laosianas rurales eligen dar a luz en casa antes que en centros de salud.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

watoto wangu, kama vile mama mja mzito anavyotaabika wakati wa kujifungua, mimi nataabika tena kwa ajili yenu mpaka hapo hali yake kristo itakapoundwa ndani yenu.

スペイン語

hijitos míos, por quienes vuelvo a sufrir dolores de parto hasta que cristo sea formado en vosotros

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huduma zilizo katika makazi haya ni mahususi kuhudumia wanawake wanaotokea katika maeneo ya vijijini wakati wa juma lao la mwisho la ujauzito, ili waweze kujifungua kwa msaada wa wakunga wenye ujuzi.

スペイン語

dichos centros residenciales albergan a mujeres de las áreas rurales durante sus últimas semanas de embarazo, para que puedan dar a luz en la presencia de parteras capacitadas.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

miongoni mwa sababu ni 'umbali na gharama za usafiri, matibabu duni, hamu ya kuwa karibu na familia, na hamu ya mazoea ya jadi ya kujifungua.

スペイン語

entre las razones están distancia y costo del transporte, mal tratamiento, deseo de tener cerca a la familia y deseo de tener prácticas de parto tradicionales.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

joka hilo liliburuta kwa mkia wake theluthi moja ya nyota za anga na kuzitupa duniani. nalo lilisimama mbele ya huyo mama aliyekuwa karibu kujifungua mtoto, tayari kabisa kummeza mtoto, mara tu atakapozaliwa.

スペイン語

su cola arrastraba la tercera parte de las estrellas del cielo y las arrojó sobre la tierra. el dragón se puso de pie delante de la mujer que estaba por dar a luz, a fin de devorar a su hijo en cuanto le hubiera dado a luz

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

taifa moja litapigana na taifa lingine; utawala mmoja utapigana na utawala mwingine; kila mahali kutakuwa na mitetemeko ya ardhi na njaa. mambo haya ni kama tu maumivu ya kwanza ya kujifungua mtoto.

スペイン語

porque se levantará nación contra nación y reino contra reino. habrá terremotos por todas partes. habrá hambres. Éstos son principio de dolores

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

insha ya atwood kwenye wavuti ya amnesty international inaonyesha mambo mawili, sehemu inayohusu taratibu za kujifungua huku umefungwa minyororo kama yalivyoelezwa kwenye mtoto wa vanessa na pia inaonyesha jambo jingine kuhusu mfumo wa magereza na umama, kwa kutumia picha za wanawake wakati mpigapicha akisoma insha kuhusu uzoefu wake wa kutembelea magereza huku akipiga picha.

スペイン語

el documental de atwood en el sitio de amnistía internacional muestra los dos lados, en una sección, el proceso de dar a luz estando la mujer engrilletada, como fue expuesto en el bebe de vanesa (vanessa's baby), y en otra, otros sistemas de prisión y maternidad, con fotografías de mujeres mientras la fotógrafa lee un ensayo sobre sus experiencias visitando las prisiones y tomando las fotografías.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kiwango cha vifo vya watoto unakadiriwa kufikia watoto 498 kwa kila wanawake 100,000 wanaojifungulia katika vituo vya afya. vyanzo vya vifo hivi ni vingi, ikiwa ni pamoja na kukosa wataalamu wa kutosha wa kuwasaidia wanawake wakati wa kujifungua, matunzo hafifu katika kipindi cha kabla ya kujifungua na ukosefu wa huduma za dharura.

スペイン語

la tasa de mortalidad materna se estima en aproximadamente 498 casos cada 100,000 nacidos vivos y las causas de muerte son diversas , incluyendo acceso limitado a equipos de salud calificados durante el parto, cuidados prenatales escasos, y falta de atención de emergencia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,763,031,267 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK