検索ワード: kutembelea (スワヒリ語 - スペイン語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

Spanish

情報

Swahili

kutembelea

Spanish

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

スペイン語

情報

スワヒリ語

misri: wanablogu watiwa mbaroni kufuatia kutembelea kwao naha hammady

スペイン語

egipto: blogueros fueron arrestados al visitar nag hammadi

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hivi karibuni alikuwa nchini afrika kusini baada ya kutembelea senegali na baadae tanzania.

スペイン語

estuvo en sudáfrica tras haber visitado senegal. después fue a tanzania.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baadhi ya matukio yanaendeshwa kwa namna mbili, hivyo waweza kutembelea ukurasa maalumu wa video wa kongamano na kisha uchague kati ya namna hizo mbili.

スペイン語

algunas partes del programa se realizan en paralelo y usted puede revisar en la página de video del sitio web de la cumbre para elegir la de su interés.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

derakhshan ana pasi ya kanada, lakini irani bado haitambui uraia wa nchi mbili, na kutembelea israeli ni jambo ambalo linaichukiza sana na serikali ya nchi hiyo.

スペイン語

derakhshan tiene un pasaporte canadiense, pero irán no reconoce la doble ciudadanía y visitar israel está desaprobado por el gobierno.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"ili kuonesha kwamba ni kawaida sana kutembelea maeneo ya hapa na kuishi hapa na kufanya kazi hapa na kuwa mwanamke binti nchini hapa."

スペイン語

"para mostrar que es totalmente normal estar aquí, vivir y trabajar aquí, y ser una mujer joven en este país".

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

lakini wanaweza kunijia wenyewe wakati wa michezo ya mpira wa kikapu au baada ya ziara ya kutembelea maabara ya tarakilishi kuniuliza maswali, kupata huduma na ushauri. ”

スペイン語

pero pueden discretamente verme entre partidos de baskelball o después de un paseo al laboratorio de cómputo y hacer algunas preguntas, acceder a los servicios y recibir consejería.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika makala hii tunao ushauri kwa wakina mama wanaotaka kutembelea jiji la jeddah wakiwa peke yao, kuna muhtasari wa hoteli za kina mama pekee jijini riyadh, na wito kwa wageni wote wanajihisi kuzungumza kwa niana ya kina mama wanaokandamizwa wa saudia.

スペイン語

en este post tenemos un consejo para las mujeres que quieran visitar solas jeddah, una crítica al hotel sólo - mujeres en riyadh, y una petición a aquellos extranjeros que sienten que quieren hablar en nombre de las mujeres saudíes oprimidas.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

insha ya atwood kwenye wavuti ya amnesty international inaonyesha mambo mawili, sehemu inayohusu taratibu za kujifungua huku umefungwa minyororo kama yalivyoelezwa kwenye mtoto wa vanessa na pia inaonyesha jambo jingine kuhusu mfumo wa magereza na umama, kwa kutumia picha za wanawake wakati mpigapicha akisoma insha kuhusu uzoefu wake wa kutembelea magereza huku akipiga picha.

スペイン語

el documental de atwood en el sitio de amnistía internacional muestra los dos lados, en una sección, el proceso de dar a luz estando la mujer engrilletada, como fue expuesto en el bebe de vanesa (vanessa's baby), y en otra, otros sistemas de prisión y maternidad, con fotografías de mujeres mientras la fotógrafa lee un ensayo sobre sus experiencias visitando las prisiones y tomando las fotografías.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katibu mkuu wa umoja wa mataifa ban ki-moon aliitembelea zambia hivi karibuni, akalihutubia bunge, akaweza pia kukutana wanasiasa maarufu kati yao akiwa ni rais wa kwanza wa nchi hiyo, kenneth kaunda na kutembelea maporoko ya viktoria, yaliyoko katika mji wa kusini wa livingstone, ambayo ni sehemu muhimu kabisa kwa utalii nchini humo.

スペイン語

el secretario general de las naciones unidas, ban ki-moon, visitó zambia hace poco. allí se dirigió al parlamento, se reunió con figuras políticas clave, entre éstas, con el primer presidente de la república kenneth kaunda, y visitó el destino turístico por excelencia, las cataratas victoria, en livingstone, al sur del país.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,764,022,043 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK