検索ワード: wasiopungua (スワヒリ語 - スペイン語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

Spanish

情報

Swahili

wasiopungua

Spanish

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

スペイン語

情報

スワヒリ語

boko haram yaua watu wasiopungua 81 huko fotokol, cameroon kaskazini

スペイン語

boko haram mata al menos 81 civiles en fotokol, en el norte de camerún

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

watu wengine wasiopungua watano wamechukuliwa kwa mahojiano baada ya mkutano huo.

スペイン語

al menos 5 personas, además de pu, fueron detenidas e interrogadas tras la reunión.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baada ya magaidi kuua watu wasiopungua 147, kulikoni dunia haiungani na kenya?

スペイン語

luego de que pistoleros mataran al menos a 147 personas, ¿dónde está la solidaridad del mundo con kenia?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

operesheni hiyo ya kuwaondoa wafuasi hao ilisababisha vifo vya watu wasiopungua 638 kwa mujibu wa serikali ya misri.

スペイン語

la operación de desalojo ha tenido como resultado al menos 638 muertes, de acuerdo con el gobierno egipcio .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

watu wasiopungua 33 inaelezwa kuwa wamepoteza maisha na idadi kubwa ya watu wameachwa bila makazi katika maeneo mbalimbali ya pwani ya mashariki.

スペイン語

se han registrado al menos 33 muertos y veintenas de desplazados a través de la costa este.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mnamo tarehe 19 februari, maandamano ya kyiv yaliripotiwa kupoteza maisha ya watu wasiopungua 25 na wengine zaidi ya 1,000 wakijeruhiwa.

スペイン語

el 19 de de febrero, el kyiv post informó que por lo menos 25 personas murieron y que hay más de 1,000 heridos.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

boko haram imepoteza zaidi ya wnaamgambo 100 kwenye mapigano hayo lakini mtu aliyejitolea mhanga alijilipua mjini masaa machache baadae, na kuua watu wasiopungua watano.

スペイン語

boko haram perdió aproximadamente 100 combatientes en el enfrentamiento pero un terrorista suicida hizo detonar explosivos en la ciudad pocas horas más tarde, matando a 5 civiles.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

leo ni siku ya 19 ya mashambulizi ya israel kwenye makazi ya wapalestina, ambayo yamepoteza maisha ya watu wasiopungua 1,000 na kujeruhi wengine 6,000.

スペイン語

el 26 de julio fue el día 19 de una ofensiva israelí en el enclave palestino que ha cobrado la vida de al menos 1 000 palestinos y herido a 6 000.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama kwa ren zhiqiang (@任志强), mfanyabiashara mkubwa wa mashamba aliye na wafuatiliaji kwenye weibo wasiopungua milioni 14, alitoa maoni yake ,

スペイン語

tal como opinó ren zhiqiang (@任志强), un magnate de bienes raíces con más de 14 millones de seguidores en weibo:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

watengenezaji sita wa nguo walikuwa wakiendelea na kazi katika ghorofa ya tatu hadi ya nane ya jengo hilo huko savar na watu wasiopungua elfu tano walikuwa ndani ya jengo lililokuwa na msongamano mkubwa wa watu wakati lilipoanguka asubuhi ya tarehe 24, aprili 2013.

スペイン語

había seis fábricas de prendas de vestir entre el tercer y octavo piso del edificio de savar, y cerca de cinco mil personas estaban dentro del atestado edificio al ocurrir la tragedia, el 24 de abril de 2013 en la mañana.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati idadi iliyothibitishwa ya vifo vilivyotokana na ebola inakaribia 5,000, huku kukiwa na matukio ya wagonjwa wasiopungua 10000, wananchi wengi katika eneo la afrika magharibi wanatumia nguvu ya mitandao ya kijamii katika kupambana na virusi vya ugonjwa huo.

スペイン語

mientras el número confirmado de muertos a causa del virus del ébola se aproximaba a 5,000, con al menos 10,000 casos reportados de la enfermedad, muchos en el oeste de África están utilizando el poder de los nuevos medios en la lucha contra la enfermedad.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mpango wa serikali wa “kuunda vijiji vipya” unawaondoa kwa nguvu wenyeji wasiopungua 200,000 kutoka kwenye ardhi yao ya asili katika maeneo ya gambella na kuwahamishia kwenye vijiji vilivyojengwa na serikali.

スペイン語

el programa del gobierno “creando pueblo” ha desplazado a al menos 200.000 indígenas de sus tierras ancentrales en la región de gambela para reubicarlas en asentamientos recién creados por el estado.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"maandamano ya pili ya kukaa na kubusiana kpigania tofauti na usawa," ambayo yaliandaliwa na proyecto arcoiris (mradi wa rainbow ambao unapingana na ubepari na kupingania uhuru), ulikusanya watu 60 kwa ajili ya besada kwenye moja ya majengo makubwa ya kibiashara jijini havana na watu wengine wasiopungua 15 wanaotokasagua la grande kwenye jimbo la villa clara siku ya tarehe 28 juni.

スペイン語

la "besada" reunió a cerca de 60 personas en una de las plazas principales de la capital cubana y a alrededor de 15 de activistas en el municipio sagua la grande, de la provincia de villa clara, el pasado sábado 28 de junio.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,760,834,351 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK