検索ワード: kujiunga (スワヒリ語 - ドイツ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

German

情報

Swahili

kujiunga

German

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

ドイツ語

情報

スワヒリ語

blinky amefungua njia ya wasanii wengine wengi kujiunga naye.

ドイツ語

blinky hat den weg für viele weitere künstler geebnet, sich ihm anzuschließen.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

jonathan si kiongozi wa kwanza kujiunga na mtandao wa kijamii katika intaneti.

ドイツ語

jonathan ist nicht der erste staatschef in der welt der social networks.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama vile watu wote wanavyokufa kwa kujiunga na adamu, vivyo hivyo wote watafufuliwa kwa kuungana na kristo.

ドイツ語

denn gleichwie sie in adam alle sterben, also werden sie in christo alle lebendig gemacht werden.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mzee wa kitamaduni husimamia safari hii, ambapo tembo huacha maisha ya porini na kujiunga na maisha ya binadamu.

ドイツ語

ein schamane organisiert diese wichtige reise, bei der die elefanten den wald verlassen, um in der welt der menschen zu leben.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mtu yeyote mwingine ambaye hakuwa mwamini hakuthubutu kujiunga nao. hata hivyo, watu wengine wasiokuwa wa imani hiyo waliwasifu.

ドイツ語

der andern aber wagte keiner, sich zu ihnen zu tun, sondern das volk hielt groß von ihnen.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

saulo alipofika yerusalemu alijaribu kujiunga na wale wanafunzi. lakini wote walimwogopa, na hawakuweza kuamini kwamba yeye amekuwa mfuasi.

ドイツ語

da aber saulus gen jerusalem kam, versuchte er, sich zu den jüngern zu tun; und sie fürchteten sich alle vor ihm und glaubten nicht, daß er ein jünger wäre.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"kwa sasa, inaonekana idadi kubwa ya watoto jijini, kama siyo kujiunga na magenge basi wanachagua kukimbia," anasema janowitz.

ドイツ語

"im moment hat es den anschein für viele kinder der stadt, als hätten sie nur die wahl wegzurennen oder einer bande beizutreten", sagt janowitz.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

nigeria inakaribia kuingia kwenye uchaguzi mkuu na inabashiriwa kwamba jonathan ana mpango wa kugombea, kwa hiyo njia hizi za kisiku hizi kama kujiunga na facebook na kuifunguliwa tena super eagles huenda zikawa tu ni janja yake ya kutaka kujipatia uungaji mkono mkubwa zaidi kabla ya uchaguzi.

ドイツ語

nigeria steht vor einem wahljahr und es wird erwartet, dass jonathan wieder antritt. populäre schritte wie die facebook seite oder die begnadigung der super eagles könnte nur ein trick sein, unterstützung vor der wahl zu gewinnen.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa mujibu wa taarifa mpya za habari, wanablogu na waandishi hao wanatuhumiwa kujiunga kinyume na sheria kama muungano wa wanablogu wa zone9, shitaka la ajabu, kwa kuzingatia mwonekano wa wazi wa blogu ya zone9 na shughuli zinazoendeshwa na kikundi hicho.

ドイツ語

aktuellen nachrichten zufolge werden die blogger und journalisten außerdem beschuldigt, sich selbst im geheimen als bloggerkollektiv zone 9 organisiert zu haben. angesichts des naturgemäß öffentlichen blogs der zone 9 sowie im hinblick auf die von der gruppe unternommenen aktivitäten ist dies ein mehr als verwirrender anklagepunkt.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,776,845,571 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK