プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
wachimbaji hao wa makaa ya mawe wanaandamana kupinga mpango wa serikali ya mariano rajoy wa kubana matumizi pamoja na hatua ya serikali hiyo kusitisha ruzuku inayotakiwa kulipwa kwa makampuni ya uchimbaji wa makaa ya mawe ili kupunguza gharama za bidhaa hiyo kwa walaji.
Миньорите протестират срещу икономическите мерки и наложените от правителството на Мариано Рахой съкращения.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
kupitia mitandao ya kijamii, watu wengi waliwahamasisha wachimbaji madini kuendelea kupinga hatua ya serikali kusitisha utoaji wa ruzuku kwa makampuni ya kuchimba madini, hatua mbayo ingeweza kusababisha kufa kwa sekta ya madini nchini humo.
Много хора в социалните мрежи също насърчиха миньорите да продължат борбата срещу бюджетните съкращения, които могат да доведат до изчезването на техния сектор.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
kwa kuwa yalikuwa ni maandamano yenye nia ya kuiasi serikali, zaidi kuliko maandamano mengine yaliyokwisha itishwa nchini hispania, juhudi za wachimbaji wa madini hawa zimekuwa ni kiini cha harakati za maandamano ya wafanyakazi na yamekuwa ni hatua kali zaidi za kuipinga serikali kwa hatua zake za kutokutoa ruzuku kwa makampuni ya wachimba madini.
Тъй като това е силно непокорен протест, повече в сравнение с други протести в Испания, борбата на миньорите се превърна в сърцето на протестното движение на работниците и в най-радикалната демонстрация на отхвърляне на резките мерки на правителството.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質: