プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
kijiji cha bethania kilikuwa karibu na yerusalemu umbali upatao kilomita tatu.
ובית היני היה קרוב לירושלים כדרך חמש עשרה ריס׃
最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:
maana ikiwa kile kilichokuwa cha muda tu kilikuwa na utukufu wake, bila shaka kile chenye kudumu milele kitakuwa na utukufu mkuu zaidi.
כי אם הדבר העמד להבטל יש לו כבוד הדבר הקים על אחת כמה וכמה׃
最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:
na kile kitambaa alichofungwa yesu kichwani. hicho kitambaa hakikuwekwa pamoja na hiyo sanda, bali kilikuwa kimekunjwa na kuwekwa mahali peke yake.
והסודר אשר היתה על ראשו איננה מנחת אצל התכריכין כי אם מקפלת לבדה במקומה׃
最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:
yohane alikuwa amevaa vazi lililofumwa kwa manyoya ya ngamia, na mkanda wa ngozi kiunoni mwake. chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni.
ויוחנן לבוש שער גמלים ואזור עור במתניו ואכל חגבים ודבש היער׃
最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:
kiumbe cha kwanza kulikuwa kama simba, cha pili kama ng'ombe, cha tatu kilikuwa na sura kama mtu, na cha nne kilikuwa kama tai anayeruka.
ודמות החיה הראשונה כאריה והחיה השנית כשור ופני החיה השלישית כפני אדם ודמות החיה הרביעית כנשר מעופף׃
最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:
kisa chenyewe kilikuwa hiki: masadukayo hushikilia kwamba wafu hawafufuki, hakuna malaika, na roho nazo hazipo. lakini mafarisayo husadiki hayo yote matatu.
כי הצדוקים אמרים אין תחיה ואין מלאך ורוח והפרושים מודים בשניהם׃
最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:
mtu mmoja aitwaye lazaro, mwenyeji wa bethania, alikuwa mgonjwa. (kijiji cha bethania kilikuwa mahali walipokaa maria na martha, dada yake.
ויהי איש חולה לעזר שמו מבית היני כפר מרים ומרתא אחותה׃
最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:
basi, nikakichukua kitabu hicho kidogo kutoka mkononi mwa huyo malaika, nikakila; nacho kilikuwa kitamu kinywani mwangu kama asali, lakini nilipokimeza kikawa kichungu tumboni mwangu.
ואקח את הספר מיד המלאך ואכלהו ויהי בפי כדבש למתוק ואחרי אכלי אתו וימלא בטני מרורים׃
最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:
mwanamke huyo alikuwa amevaa vazi la rangi ya zambarau na nyekundu; alikuwa amejipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu. mkononi mwake alishika kikombe cha dhahabu ambacho kilikuwa kimejaa machukizo na mambo machafu yanayoonyesha uzinzi wake.
והאשה לבושה ארגמן ושני והיא מכללה בזהב ואבן יקרה ופנינים ובידה כוס זהב מלאה תועבות וטמאת תזנותה׃
最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:
mbele ya kiti cha enzi kulikuwa na kitu kama bahari ya kioo, angavu kama jiwe linga'aalo sana. katika pande zote za hicho kiti cha enzi na kukizunguka, kilikuwa na viumbe hai vinne. viumbe hivyo vilikuwa vimejaa macho mbele na nyuma.
ולפני הכסא ים זכוכית כעין הקרח ובין הכסא וסביב לכסא ארבע חיות מלאות עינים מלפניהם ומאחריהם׃
最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質: