kuadhibiwa si jambo la kufurahisha bali la kuhuzunisha. lakini wale waliofunzwa kuwa na nidhamu mwishowe watavuna tuzo la amani kutoka katika maisha adili!
maandiko yote matakatifu yameandikwa kwa uongozi wa mungu, na yanafaa katika kufundishia ukweli, kuonya, kusahihisha makosa, na kuwaongoza watu waishi maisha adili,