検索ワード: anajulikana (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

anajulikana

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kiselyov anajulikana zaidi kwa kukosoa vikali serikali za kyiv na washington.

英語

kiselyov is notorious for his strong criticisms of the governments in kyiv and washington.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kitu cha pekee katika shauri hili ni kwamba zaid anajulikana kwa kuwaunga mkono wanablogu wa kimalaysia ambao wameshtakiwa na watu wenye nguvu na mashirika.

英語

what is peculiar in this case is that zaid is known for supporting malaysian bloggers who have been sued by powerful individuals and corporations.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

simoni petro pamoja na mwanafunzi mwingine walimfuata yesu. huyo mwanafunzi mwingine alikuwa anajulikana kwa kuhani mkuu, hivyo aliingia pamoja na yesu ndani ya ukumbi wa kuhani mkuu.

英語

and simon peter followed jesus, and so did another disciple: that disciple was known unto the high priest, and went in with jesus into the palace of the high priest.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

chantra be, msimamizi wa mfumo mtandao wa kijamii wa asasi huru na mtaalamu wa kuratibu matukio ya barcamp huko cambodia na ambaye anajulikana kwa kutokupenda kuzungumzia masuala ya siasa, siku za hivi karibuni alianzisha mjadala wa kisiasa.

英語

chantra be, a social networking manager of the open institute and a prominent organizer of barcamp events in cambodia who is known to dislike talking about politics, has recently initiated a political discussion.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini petro alikuwa amesimama nje, karibu na mlango. basi, huyo mwanafunzi mwingine aliyekuwa anajulikana kwa kuhani mkuu alitoka nje akasema na mjakazi, mngoja mlango, akamwingiza petro ndani.

英語

but peter stood at the door without. then went out that other disciple, which was known unto the high priest, and spake unto her that kept the door, and brought in peter.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kiran bedi (@thekiranbedi), ambaye ni askari mstaafu kutoka delhi, ambaye anajulikana kwa utendaji kazi uliotukuka na mmoja wa wapinga rushwa nchini india, alitwiti:

英語

kiran bedi (@thekiranbedi), a former police officer from delhi who is recognized for her philanthropic activities and anti-corruption crusade in india, tweeted:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"haki kwa hossein derakhshan" blogu ilitangaza mnamo oktoba 16, 2013 kwamba mamlaka ya iran imepunguza kifungo cha jela cha mwanablogu wa iran hossein derakhshan (pia anajulikana kama “hoder”) hadi miaka 17 kutoka miaka 19.5 derakhshan alikamatwa mnamo novemba 1, 2008.

英語

the "justice for hossein derakhshan" blog announced on october 16, 2013 that iranian authorities have reduced the jail sentence of iranian blogger hossein derakhshan (also known as “hoder”) to 17 years from 19.5 years. derakhshan was arrested on november 1, 2008.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,763,925,153 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK