検索ワード: budi (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

budi

英語

they have to

最終更新: 2020-08-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sina budi

英語

i'm not going to let you go

最終更新: 2023-05-12
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hapana budi

英語

there must be

最終更新: 2021-11-10
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kenya: mwai kibaki na odinga budi washirikiane na icc

英語

kenya: mwai kibaki and odinga must co-operate with icc · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ndugu wa watu wanaoshikiliwa, hawana budi kuungana nao haraka iwezekanavyo.

英語

detainees' relatives should join them right now.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ili kukwepa hali hii hawana budi kutafuta njia mpya za kujifufua pamoja na kazi zao.

英語

to avoid this they must find new mediums to draw attention to themselves and their work.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

siku ya nelson mandela siyo siku ya mapumziko - ni siku ambayo sisi sote hatuna budi kuungana na kutenda.

英語

nelson mandela day is not a holiday – it is a day for all of us to all come together through action.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kuna utaritibu maalum wa uingizaji katika umoja wa nchi za ulaya wa chakula kilichotengenezwa kutoka kwa wanyama, hauna budi kufanyiwa uchunguzi wa makini na waganga wa wanyama

英語

there are strict procedures and veterinary control on the introduction of products of animal origin into the european union for official controls

最終更新: 2014-02-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hadhi hiyo inamtaka mtu anayenufaika nayo awe tayari kwenye ardhi ya marekani, na mtu hana budi kutuma maombi ya kuomba kupata hifadhi hiyo na maombi yatafikiriwa.

英語

the status requires that the individual already be in the united states, and the individual must apply for consideration under tps.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

alitahadharisha kwamba kwa sababu miamba iliyo chini ya india inaendelea kusukuma kuelekea bara asia, basi myanmar haina budi kuwa kwenye tahadhari siku zote na hasa kwa siku za usoni.

英語

he also warned that because the indian plate keeps pushing into asia, myanmar should be on alert for earthquakes in the future.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ili kujipatia upya nafasi huria kwenye ujazo huu pipa-taka halina budi kutupuishwa. vitu vyote vilivyotupwa humo kwenye ujazo vitakuwa vimepotea moja kwa moja.

英語

in order to regain the free space on this volume the trash must be emptied. all trashed items on the volume will be permanently lost.

最終更新: 2014-08-15
使用頻度: 3
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lakini wote, kwa namna moja, wakaanza kuomba radhi. wa kwanza akamwambia mtumishi: nimenunua shamba, kwa hiyo sina budi kwenda kuliangalia; nakuomba uniwie radhi.

英語

and they all with one consent began to make excuse. the first said unto him, i have bought a piece of ground, and i must needs go and see it: i pray thee have me excused.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,761,654,038 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK