検索ワード: chapisha vipengele kwa niaba yako (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

chapisha vipengele kwa niaba yako

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kwa niaba ya

英語

on behalf of

最終更新: 2020-04-28
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

asante kwa niaba yake

英語

thank you on behalf

最終更新: 2022-11-06
使用頻度: 2
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kunichukuliwa cheti kwa niaba yangu

英語

to pick me up a certificate

最終更新: 2022-04-08
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

alama ya wfd katika strasbourg 2013 picha kwa niaba ya suzanne lehn

英語

logo of the wfd in strasbourg 2013 photo suzanne lehn

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa kuwa bado yupo gerezani, hatuna budi kudumisha matarajio haya kwa niaba yake.

英語

for as long as he is behind bars, we must carry out this wish on his behalf.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

picha kwa niaba ya miguel mangueze gazeti la @verdade (cc by

英語

photo by miguel mangueze for @verdade newspaper (cc by 2.0)

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ye htut, naibu waziri wa habari, alitoa taaarifa kwa niaba ya serikali:

英語

ye htut, deputy minister of information, released a statement in behalf of the government:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

siku hizi vinaweza kuwa kwa niaba ya serikali au vipinga serikali, lakini bado vinamailikiwa na vyama vya siasa.

英語

today they can be pro-government or anti-government, but are still run by political parties.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa niaba ya taifa lote, ninaungana na familia za wale waliopoteza maisha yao na kuwapa rambirambi za kila raia wa kenya kwa kilichotokea.

英語

with the entire nation, i stand with the families of those who have lost their lives and extend every kenyan’s deepest condolences.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mlijifunza juu ya neema ya mungu kutoka kwa epafra, mtumishi mwenzetu, ambaye ni mfanyakazi mwaminifu wa kristo kwa niaba yetu.

英語

as ye also learned of epaphras our dear fellowservant, who is for you a faithful minister of christ;

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kila kuhani mkuu huchaguliwa kutoka miongoni mwa watu kwa ajili ya kumtumikia mungu kwa niaba yao, kutolea zawadi na tambiko kwa ajili ya dhambi zao.

英語

for every high priest taken from among men is ordained for men in things pertaining to god, that he may offer both gifts and sacrifices for sins:

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

basi, sisi tunamwakilisha kristo, naye mungu mwenyewe anatutumia sisi kuwasihi ninyi. tunawaombeni kwa niaba ya kristo, mpatanishwe na mungu.

英語

now then we are ambassadors for christ, as though god did beseech you by us: we pray you in christ's stead, be ye reconciled to god.

最終更新: 2024-04-15
使用頻度: 2
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, mnamo mwaka 1991, mtoto mkubwa wa bibi suu kyi, alexander, alipokea tuzo ya amani ya nobel huko oslo kwa niaba ya mama yake.

英語

however, in 1991, ms suu kyi’s older son, alexander, accepted the nobel peace prize in oslo on her behalf.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

tunatarajia mahusiano zaidi katika siku zijazo. kwa niaba ya usimamizi wa knh, timu ya newsline ingependa kuwashukuru wafadhili wote na watakia mema na kuwatakia krismasi ya merry na mwaka mpya wenye furaha

英語

we look forward to more relationships in the future. on behalf of the knh management, the newsline team would like to thank all the donors and well wishers and wish them a merry christmas and happy new year

最終更新: 2021-12-26
使用頻度: 2
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mhariri wa eneo hilo ndesanjo macha alikuwepo afrika kusini kuipokea tuzo hiyo (na kikombe cha ushindi!) tarehe 11 sepetemba, 2012 kwa niaba ya timu nzima.

英語

regional editor ndesanjo macha accepted the award (and trophy!) in south africa on september 11, 2012 on behalf of the team.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

jj rawlings, blogu isiyo rasmi iliyotengenzwa kutoa dondoo za kazi na mawazo ya rais huyo wa zamani iliweka taarifa nzuri tarehe 18 mei, 2009 kuhusu safari ya rais rawlings kwenda afrika kusini kwa niaba ya rais mills.

英語

jj rawlings, an unofficial blog site created to highlight the work and thoughts of the former president posted a positive report on may 18, 2009 about president rawlings’ trip to south africa on behalf of president mills.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika video hii, iliyo haririwa na (@albamoraroca) na muziki kwa niaba ya dan bality, félix anaelezea hadithi nyuma ya picha ambazo yeye alichukua wakati wa kukaa kwake katika chichigalpa.

英語

in this video, edited by alba mora (@albamoraroca) with music by dan bality, félix tells the stories behind the photos that he took during his stay at chichigalpa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa niaba ya guatemala, kamati ya kimataifa ya wanasheria (icj) kwa ajili ya guatemala ikiwa na wawakilishi kutoka kituo cha msaada wa sheria za mazingira na jamii (calas kifupisho chake kwa kihispania), wamewasilisha maoni yao juu ya mazingira mbele ya sekretarieti ya mambo ya mazingira wakieleza kuwa nchi inashindwa kutekeleza mpango wa kulinda maeneo na haiheshimu sheria kwa kurefusha mkataba wa uchimbaji mafuta 2-85 huko hifadhi ya haifa ya laguna del tigre kwenye hifadhi ya viumbe hai ya maya.

英語

on behalf of guatemala, the the international commission of jurists (icj) for guatemala with the representation of the environmental and social legal action center (calas for its initials in spanish), filed an environmental submission before the secretariat for environmental matters stating that the country is failing in the implementation of its protected areas and not respecting the laws with the extension of the 2-85 contract for oil operations in the laguna del tigre national park in the mayan biosphere reserve.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,772,803,792 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK