検索ワード: dhima ya huduma zetu (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

dhima ya huduma zetu

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

hati ya huduma

英語

motto

最終更新: 2021-06-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kuhusu programu katika huduma zetu

英語

unazungumziaje kuhusu huduma zetu

最終更新: 2023-04-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mfano wa barua ya shukrani ya huduma nzuri

英語

an example of a thank you letter of good service

最終更新: 2024-04-08
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

picha kwa hisani ya stesheni ya huduma ya kwanza ya wanyamapori imechapishwa na leopardcatgo.

英語

photo is taken by the wildlife first aid station and reprinted by leopardcatgo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hii hupunguza hatari ya huduma za afya kulemewa na hutoa muda zaidi kwa chanjo na matibabu kutengenezwa.

英語

this decreases the risk of health services being overwhelmed and provides more time for vaccines and treatments to be developed.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

3) ofisi ya huduma za dharura imeagizwa kuchukua hatua mwafaka kuhakikisha utiifu wa amri hii.

英語

3) the office of emergency services is directed to take necessary steps to ensure compliance with this order.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kuna namna mbalimbali za kufanya kazi ya huduma, lakini mungu ni mmoja, anayewezesha kazi zote katika wote.

英語

and there are diversities of operations, but it is the same god which worketh all in all.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

alifanya hivyo apate kuwatayarisha watu wote wa mungu kwa ajili ya kazi ya huduma ya kikristo ili kuujenga mwili wa kristo,

英語

for the perfecting of the saints, for the work of the ministry, for the edifying of the body of christ:

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

dhima ya wamadagascar walio nchi za mbali kwa maendeleo ya nchi yao imewahi kujadiliwa hapo kabla katika ulimwengu wa wanablogu wa madagascar.

英語

the role of the diaspora in the development of madagascar has been discussed previously in the malagasy blogosphere.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

bahrain inaonekana kuiiga saudi arabia, ambayo tayari imepiga marufuku matumizi ya huduma ya viber katika nchi hiyo ya kifalme.

英語

bahrain seems to be taking the cue from saudi arabia, which has already banned the use of viber in the kingdom.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

gazeti la south china morning post lilitaarifu kuwa, maandamano yaliratibiwa kupitia mitandao ya kijamii ya nchini china ya huduma za ujumbe ambayo ni: qq na wechat.

英語

south china morning post has reported that the protest had been organized via china’s social messaging services: qq and wechat.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

akizungumza na wasimamizi wa muda wa saut katika chuo kikuu cha saut afisa wa masoko ya huduma ya maji ya eco ambayo inapatikana katika chuo kikuu cha saut mr victa venance alisema itakuwa nzuri ikiwa mwanafunzi yeyote katika chuo kikuu hutumia huduma hii

英語

speaking to repoters of saut times in saut university the officer marketing of eco water service which is available in the saut university mr victa venance said it will be good if any student in this university use this service

最終更新: 2019-01-13
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hali ya huduma ya mawasiliano katika nchi yetu mara nyingi imekuwa ikilinganishwa na urahisi wa upatikanaji na utoaji wa huduma hizi kutoka kwa wamiliki wa njia za mawasiliano kutoka nchi nyingine, ikiwa ni pamoja na maeneo ya amerika ya kusini.

英語

the state of our services is frequently compared with the affordability and convenience with communication carriers from other countries, including those from latin american regions.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

"sababu za kiusalama" zinatajwa kuwa kigezo kilichosababisha kanuni mpya zinazoweza kuhitimisha matumizi ya huduma maarufu za skype, whatsapp, viber na tango nchini bahrain.

英語

"security considerations" are being cited as reasons behind new regulations which could put an end to the use of popular services such as skype, whatsapp, viber and tango in bahrain.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

"programu ya kimsingi ya huduma ya afya" iliyotekelezwa na wizara ya elimu huko ufilipino ni mfano wa hatua ya hali ya juu kukuza afya na elimu ya watoto.

英語

the "essential health care program" implemented by the department of education in the philippines is an example of at scale action to promote children's health and education.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kufuatia mabadiliko ya utolewaji wa huduma za afya ambazo zilitolewa bure kabisa baada tu ya kumalizika kwa mgogoro wa baada ya uchaguzi, sera iliyoanzishwa na serikali ya côte d'ivoire, ambayo sasa imeelekeza baadhi ya huduma tu ndizo zitakuwa bure, wafanyakazi wa taasisi kadhaa za afya hawajapata mishahara yao kwa wakati.

英語

from the total no-fees for healthcare initiated by the state of côte d'ivoire after the end of the post-electoral crisis to free selected healthcare services, employees of certain health institutions have yet to receive their salary in a regular manner.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hakukuwa na elimu yoyote ya uraia ya kufafanua suala la muswada wa katiba pamoja na dhima ya sheria zilizopendekezwa na hii inamaanisha kuwa watu wengi hawana uhakika na yaliyomo (katika mswada wa katiba), wengi zaidi hawajawahi hata kuusikia mchakato wenyewe” yeye [hassan sheikh, kiongozi wa chama cha amani na maendeleo, ppd) alilieleza shirika la habari ya somalia.

英語

there wasn’t any civic education to put across the letter and spirit of the proposed laws and this means that most people are not comfortable with the contents, many more have not heard about the whole process,” he told somalia report.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,748,888,412 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK