検索ワード: faidika na matangazo (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

faidika na matangazo

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

hapakuwa na matangazo.

英語

no announcements.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mnyama tony ni katuni ya matangazo kwa ajili ya bidhaa ya vitafunwa vya kellogg, inayoonekana kwenye vifuko na matangazo yake.

英語

tony the tiger is the advertising cartoon mascot for kellogg's frosted flakes breakfast cereal, appearing on its packaging and advertising.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nahisia hizi zinaweza kuongezeka zaidi kwa vile vyombo vikuu vya habari vya india vinahaha na kukimbia kila mahali na matangazo yake yaliyokithiri ya tukio hilo.

英語

and this emotion is likely to be further amplified as the indian mainstream media hyperventilates and virtually runs amok with its over the top coverage of the incident.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kutokana na matangazo haya, lucky akter, mwandamanaji aliye katika mstari wa mbele kabisa amekuwa maarufu kutokana na kauli mbiu zake motomoto.

英語

because of these broadcasts, lucky akter, a leading protester has become popular for her fiery slogans.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

pamoja na kuwa sura na sauti ya kampeni ya kuelimisha wapiga kura, khan alichukua hatua nyingine zaidi aliposaidia kutengeneza filamu za video pamoja na matangazo ya redio.

英語

besides being the face and voice of the voter awareness campaign, khan went one step further and helped produce the videos and audio pieces.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nadhani ujumbe utawafikia watu na kunasa na utawahamasisha kuchukua hatua… jumbe hizi ni sawa na matangazo kwa ya wazi kwa umma kwa kutumia simu za viganjani."

英語

i think the message would truly stick with people allowing them to act on it…these texts are psa’s for cell phones."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

ungana na tamasha la kwanza la web africa festival kwenye moja wapo ya makundi yafuatayo ya ushindani: dokumentari, utalii, masimulizi, burudani, elimu na matangazo.

英語

join the first web africa festival in one of the six competition categories: documentary, tourism, fiction, entertainment, education, advertising and tourism.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

luca hammer wa blogu ya 2-blog, mwanafunzi na mtaalamu wa nyuma ya pazia wa harakati za mtandaoni mjini vienna, amechapisha taarifa ya namna matangazo ya wiki, twita na matangazo ya mtandaoni yalitumika kufanya mambo yaende.

英語

luca hammer of 2-blog, a student and technical mastermind behind the viennese web activities, has published a field report of how wikis, twitter and webcast were used to get things rolling.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kampeni ya kuwatetea wasyria wanaokabiliwa na ubaguzi wa rangi (kwa kiarabu: الحملة الداعمة للسوريين بوجه العنصريّة) ilizinduliwa mnamo machi 21, 2014, katika siku ya kimataifa ya kuondoa ubaguzi wa rangiwas, "katika kukataa aina zote za unyanyasaji dhidi ya wasyria waishio lebanon, hotuba za kisiasa zenye sura ya ubaguzi na matangazo yanayohusiana na ubaguzi huo kwenye vyombo vya habari."

英語

the campaign in support of syrians facing racism (arabic: الحملة الداعمة للسوريين بوجه العنصريّة) was launched on the 21st of march, 2014, on the international day for the elimination of racial discrimination, "in rejection of all violence towards syrians , racist political rhetoric and the associated media hype."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,739,831,386 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK