検索ワード: hitimisho (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

hitimisho

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

ilichukua miaka miwili kufikia hitimisho la hukumu ya miaka mitano jela!!!

英語

it took 2years to get to a conclusion of 5years imprisonment!!!

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hata hivyo, bado ni mapema mno kurukia hitimisho la ni nani aliyehusika na milipuko.

英語

however, it still seems to be pretty early to jump into conclusions about who is responsible for the blast.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuna msemo mzuri katika hitimisho , kwamba ni picha ndogo tu inayoonyesha hali halisi ilivyo katika nchi nzima.

英語

a good phrase as conclusion, that is a micro-model of the country.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ushahidi mdogo upo wa kudhibitisha hitimisho lolote dhabiti kuhusu asili ya maambukizo ya covid-19 katika ujauzito.

英語

little evidence exists to permit any solid conclusions about the nature of covid-19 infection in pregnancy.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mkenya david ogara (@david_ogara) alifanya hitimisho chungu kuhusu uchaguzi wa afrika:

英語

kenyan david ogara (@david_ogara) came to a bitter conclusion about elections in africa:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na kama walivyo wengine, anasisitizia kidogo juu ya sababu za kujieleza kulikopita kiasi kwa shauku ya kombe la dunia, lakini anafikia hitimisho sawa sawa na lile:

英語

and like the others, she dwells a little on the reasons of the somewhat excessive expressions of excitement for world cup, but reaches the same conclusion:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mara nyingi, hata hivyo, kwenye utangulizi na hitimisho la maandiko haya, inawezekana kuelewa wazo la jumla la "hiki kina maana gani".

英語

usually, however, on the introduction and conclusions of these texts, it's possible to understand a general idea of “what is this for".

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

hakuna ajuaye hitimisho la mchezo huu wa kisiasa unaoendelea nchini misri, lakini jambo moja ni dhahiri, wa-misri wanashuhudia kipindi chenye msisimko na ni wao pekee wanaamua historia yao.

英語

no one really knows what the conclusion of the political play in egypt will be, but one thing is certain, egyptians are witnessing an exciting period and they alone will determine their history.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baada ya karibu miezi mine na nusu, mkasa wa marwa el-sherbini umefikia hitimisho la namna fulani baada ya mahakama ya ujerumani kumhukumu kifungo cha maisha bila uwezekano wa kuachiwa mapema mtu aliyemchoma visu “shahidi aliyevaa shela” mara 17 ndani ya mahakama mnamo mwezi julai.

英語

after nearly four and a half months, the marwa el-sherbini saga has come to a conclusion of sorts after a german court sentenced the man who stabbed the “veiled martyr” 17 times inside the court in july to life in prison without possibility of early release.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,730,167,210 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK