検索ワード: huku wakiwa wameathirika (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

huku wakiwa wameathirika

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

paulo alipokwisha sema hayo, wayahudi walijiondokea huku wakiwa wanabishana vikali wao kwa wao.

英語

and when he had said these words, the jews departed, and had great reasoning among themselves.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huku wakiwa wamekasirishwa sana na ushindi wa leung, walipambana na kusukumana na ukuta wa polisi.

英語

outraged by leung's victory, they pushed the police barricades.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huku wakiwa na kamera mkononi, wanavinjari mitaa wakitafuta habari ili kuionesha dunia jinsi kibera inavyojiona yenyewe.

英語

with video cameras in hand, they scout the streets for stories to show the world how kibera sees itself.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baadaye waliamua kuachana nami, lakini baadaye walinipakia peke yangu kwenye gari lao hilo, huku wakiwa wamenifunga macho, hadi kwenye ofisi za #niss huko bahri. #sudanrevolts

英語

when they finally gave up on me, i was taken alone on a pickup, blindfolded, to #niss premises in bahri. #sudanrevolts

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

niliona ni jambo la ajabu pale aliposema kuwa “hawakutumia vibaya rasilimali za taifa huku wakiwa na ufahamu huo” je, ina maana kuwa walitumia vibaya rasilimali za taifa lakini hawakujua kuwa walikuwa wanafanya hivyo?

英語

i found it interesting when he said they did not “knowingly abuse public resources” that mean they abused public resources but did not know they were doing so?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kadhalika wengine wanaripoti juu ya matukio katika maeneo fulani fulani, huku wakiwa na matumaini ya kuwaondoa hofu ndugu na wapenzi walio nje ya nchi (mpaka hivi sasa, ni taarifa chache mno zilizokwishatolewa kwenye wavuti kuhusu waliofariki na waliojeruhiwa).

英語

still others are reporting on incidents in specific locations, in the hopes of assuaging the concerns of loved ones abroad (as of yet, very little information on those injured and dead has been released online).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama watotokatika video wanavyosema kwa kutumia maneno mengi: wanaweza kuwa na wakati mgumu kukabiliana na mengi ya maoni nba mitazamo ambayo watoto wengine wanaitoa, lakini kuwa na sehemu ya kujadili masuala katika njia salama kunawasaidia kuelewa ulimwengu wanamoishi huku wakiwa na uwezekano wa kukutana, kujifunza na kushiriki na watoto wenzao pamoja na vijana na hata kubadili hiyo mitazamo.

英語

as the children in the video state in so many words: they may have a hard time dealing with many of the opinions and perceptions other children express, but having the space to discuss issues in a safe and secure manner helps them understand the world they live in with a possibility to interact, learn and share with other children and youth and even change these perceptions.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

cha ni bora kupigia kelele kwa kosa hili la makusudi kwa sauti sana tuwezavyo dhidi ya chembechembe za kibaguzi za muswada huu bila kuwaongoza kuhusu udhaifu wa kiufundi unaojionyesha, kisheria, kikatiba na katika mitego (uwanja wa mabomu) ya haki za binadamu ambayo wanajiingiza wenyewe na muswada huu huku wakiwa wanatembea wakati wamelala usingizi.

英語

best then to shout foul as loud as we can on the discriminatory elements of the bill without guiding them around the glaring technical, legal, constitutional and human rights minefield they are sleep-walking towards with this bill.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
7,736,220,695 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK