検索ワード: huna video zozote za kudai! (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

huna video zozote za kudai!

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

indonesia: sarafu za kudai haki

英語

indonesia: coins for justice · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama wangebaki nyumbani wasingepiga hatua zozote za maana.

英語

had they stayed in zed they would not have achieved anything.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kataa kusambaza picha zozote za #muathalkaseasbeh zinazotokana na propaganda za isis.

英語

don't share the #isis photos allegedly showing the burning of moaz kasasbeh.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

pu vile vile alishiriki kwenye harakati za kudai demokrasi mwaka 1989 wakati huo akiwa mwanafunzi.

英語

pu also participated in the 1989 pro-democracy movement as a student.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

karibu asilimia 45 ya wasichana hawa hawapati hudma zozote za afya katika vituo vya afya vya serikali.

英語

almost 45% of these girls do not receive any treatment from government medical facilities or clinics.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baadhi ya vyanzo vilidokeza kuwa sababu iliyojificha ya kuwachunguza wafanyakazi hawa ni kuwafukuza kazi kisha kuwapiga marufuku kudai haki zao zozote za kifedha.

英語

some sources said that the hidden reason behind investigating with these employees is to fire then, and so ban them from all their financial rights.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

video hiyo iliyokuwa imechukuliwa kutoka kwenye kompyuta ya hassan, iliyokuwa imechukuliwa na polisi mara baada ya abd el fattah kuwekwa chini ya ulinzi na kuondolewa kwenye familia yake mwezi novemba 2013, video hiyo haioneshi uhusiano na shughuli zozote za kisiasa.

英語

taken from hassan’s laptop, which confiscated by police when abd el fattah was arrested and taken from his family’s home in november of 2013, the video bears no discernible relationship with his political activities.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hakuwa pale kama mfuasi wa chadema kwenye mkutano ule, kwa hivyo hakuwa anavunja amri ya polisi kupiga marufuku shughuli zozote za kisiasa wakati wa zoezi la sensa.

英語

he was not there as a chadema supporter at a rally, so he was not even breaching the police ban on political activities during the census period.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nchini ufaransa, ili tafiti zozote za umma zifanikiwa, shirika la taifa la utafiti nchini humo linaeleza namna utafiti unavyoweza kufadhiliwa nchini humo :

英語

for public research, the french national research agency uses a few numbers to explain how research is financed in france :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

maandamano ya nne ya harakati za kudai usafiri wa bure , yaliyotokea alhamisi ya tarehe 13 juni huko são paulo lilikabiliwa na upinzani kutoka kwa polisi waliokuwa wakinyunyiza maji ya pilipili, risasi za plastiki na mabomu ya machozi.

英語

the fourth protest of the free fare movement, which took place this thursday, june 13, in são paulo was met with police repression in the form of pepper spray, rubber bullets and tear gas.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wengine kati ya watu walioambukizwa huenda wasionyeshe dalili zozote, bila dalili zozote za kimatibabu lakini matokeo yao ya kupimwa yanathibitisha kwamba wameambukizwa, kwa hivyo watafiti wametoa ushauri kwamba wale waliogusana na watu ambao wamethibitishwa kuambukizwa wanapaswa kufuatiliwa na kuchunguzwa ili kuondoa hofu ya maambukizi.

英語

some of those infected may be asymptomatic, with no clinical symptoms but with test results that confirm infection, so researchers have issued advice that those with close contact to confirmed infected people should be closely monitored and examined to rule out infection.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ingawa rais wa sasa hakufanya juhudi zozote za kumuandaa mrithi wa kiti chake kutoka katika chama chake cha national resistance movement, vuguvugu, mkewe ambaye pia ni mbunge, janet museveni, ambaye pia hivi karibuni ameteuliwa kuwa waziri na mtoto wake, luteni kanali muhoozi kainerugaba, hawa wako mstari wa mbele.

英語

although the current president has not made an effort to groom a successor from the ruling national resistance movement, his wife hon. janet museveni, mp who recently became appointed minister and his son, lt. col. muhoozi kainerugaba are front runners.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,749,879,914 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK