検索ワード: idhaa za chapa (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

idhaa za chapa

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

hakuna intaneti wala setilaiti za idhaa za televisheni.

英語

no internet and no satellite tv channels and nothing.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

idhaa za televisheni hazikuwa tu na kasi ndogo bali poia zimeshutumiwa kwa kukosa mtazamo unaofaa katika upashaji wao habari kuhusu tukio hili.

英語

tv channels were not only slow but have also been accused for the lack of adequate attitude in their coverage of the event.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama vile mtumiaji wa twita krassnova alivyoona , alama ya twita ya #metro29 ilikuwa na jumbe 40 kwa sekunde wakati idhaa za televisheni ziliweza kuandaa habari 4 tu.

英語

as twitter user krassnova noticed , twitter hashtag #metro29 had 40 tweets per second while tv channels managed to prepare just 4 stories.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

victor kaonga anaienzi kazi ambayo idhaa za redio ziliifanya katika kuwapasha watu habari za matokeo wakati wa kusubiri tume ya uchaguzi ya malawi (kutangaza matokeo).

英語

victor kaonga pays tribute to the role that radio stations played in informing listeners of the results during the long breaks waiting for the malawi electoral commission.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hakuna lililothibitishwa mpaka sasa, na uvumi unaenea; hata hivyo, zeinobia alijaribu kukusanya habari kama zinavyotokea kutoka vyanzo tofauti vya magazeti na idhaa za televisheni katika muhtasari.

英語

nothing was confirmed yet, and rumors were circulating; however, zeinobia was trying to gather updates from different sources newspapers and tv channels in a quick but comprehensive roundup.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na magazeti na idhaa za habari ni lazima viuze nafasi za matangazo na muda wa kurusha matangazo hewani ili kutengeneza fedha, na kwa kadiri habari inavyokuwa inatishia na kuogopesha ndivyo wanavyopata watazamaji na wasomaji wengi zaidi, ambavyo huongeza watangaza biashara, na faida zaidi.

英語

and newspapers and news channels have to sell advertising space and airtime to make money, and the more shocking and scary their stories, the more viewers and readers they have, which leads to more advertisers, and more profits.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huku kukiwa na mlipuko katika vyombo vya habari, inaonekana kuwa watu wan chi zote mbili wanashuhudia toleo la kihindi la “papparazzi” kwani idhaa za televisheni, magazeti na asasi nyingine vimewaandama, vimekusanya na kutoa kila chembe ya habari inayowezekana kuhusu harusi hii inayotarajiwa.

英語

with the media blitz, it seems people of both the countries are witnessing a desi version of "papparazzi" as tv channels, print media and other agencies have hounded, gleaned and extracted any bit of information possible about this impending wedding.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,763,288,484 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK