検索ワード: inaelekea (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

inaelekea

英語

dreaming

最終更新: 2013-01-19
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

china inaelekea wapi kwa mwaka 2013?

英語

what lies ahead for china in 2013? · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

@blafrancia: misri inaelekea kuwa kama pakistani.

英語

@blafrancia: egypt is on its way to become pakistan.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa nini vijana wabaki mashambani sasa ambapo nchi inaelekea kuwa tajiri?

英語

why should young people stay on farms now that the country is going to get rich?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inaelekea kuwa uhalisia wa nguvu za umma katika kujipanga uliwatia moyo kuwa kuna hali ya usalama.

英語

the grassroots nature of the organizing seemed to inspire a sense of safety.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tanzania inaelekea katika uchaguzi wake mkuu mnamo oktoba 31 mwaka huu na hivi sasa kampeni za uchaguzi zinaelekea kileleni.

英語

tanzania will go to the polls on october 30, 2010 and the general election campaign is well underway.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hivi inaelekea zaidi ya kwamba watatoa ushahidi ulio sawa au wataogopa visije vikaletwa viapo vingine baada ya viapo vyao.

英語

it is thus likely that men will bear witness rightly, or else fear that their oaths may be disproved by oaths given after them.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ilikuwa inaelekea usiku wa manane wakati milipuko hiyo ikitokea, shambulizi ambalo liliwaacha watu sabini wakiwa wamefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.

英語

it was approaching 12am when the bombs took off, leaving over 70 people dead on the spot and others injured.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati sudani inaelekea uchaguzi mwezi aprili, teknolojia ina uwezo wa kucheza nafasi kubwa katika kuwashirikisha raia na katika kufuatilia mchakato wa kisiasa.

英語

as sudan moves towards elections in april, technology has the potential to play a major role in both engaging citizens and in monitoring the political process.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hivi inaelekea zaidi ya kwamba watatoa ushahidi ulio sawa au wataogopa visije vikaletwa viapo vingine baada ya viapo vyao. na mcheni mwenyezi mungu na msikie.

英語

that shall make it more likely that they shall produce the testimony according to the fact thereof or they shall fear that other oaths would be admitted after their oaths.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

feri ya korea kusini iliyokuwa inaelekea kwenye kisiwa cha mapumziko ilizama mnamo aprili 16, 2014 na mamia ya abiria, ikiwa ni pamoja na wanafunzi 325 wa shule ya sekondari waliokuwemo.

英語

a south korean ferry heading to a resort island sank on april 16, 2014 with hundreds of passengers, including 325 high school students, on board.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

akizungumzia ununuzi wa matunda mjini yaounde, mfanyakazi wa kujitolea wa shirika la kujitolea la marekani (u.s. peace corps ) anayeblogu kwenye adventures of aubrey inaelekea amekuwa akibishana kidogo juu ya bei ya matofaa.

英語

speaking of buying fruits in yaounde, a u.s. peace corps volunteer blogging at adventures of aubrey seems to have been haggling a bit over the price of apples.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,730,307,556 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK