検索ワード: inafanya (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

inafanya

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

inafanya kazi

英語

it doesn't work

最終更新: 2022-01-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

inafanya kazi vipi?

英語

how does it work

最終更新: 2020-11-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

inafanya utekelezaji wa mradi wa maji

英語

implementation of the water project

最終更新: 2024-01-30
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

idadi hiyo inafanya wastani wa mapendekezo yanayofikia 87 kwa kila kundi shindanishi.

英語

that averages about 87 nominations per category.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, @gulnarakarimova , inafanya kazi na inawafuatiliaji zaidi ya 1,800

英語

however the second one, @gulnarakarimova , is active and has over 1,800 followers

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kitu cha kwanza kinachoingia akilini ni wimbo ambao anc inafanya juu chini usipigwe marufuku.

英語

the first thing that comes to mind is the song the anc is so desperate wants to get unbanned.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

bado katika mshtuko wa mlipuko #india inafanya jambo tofauti kabisa wakati huu.

英語

still aghast at the blasts, i wish #india does something really different this time.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

shule ya masomo ya matibabu ya nyu langone inafanya majaribio ya usalama na ufanisi wa matumizi ya hydroxychloroquine.

英語

nyu langone medical school is conducting a trial on the safety and efficacy of preventative use of hydroxychloroquine.

最終更新: 2024-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nembo iliyobuniwa vizuri ya tukio hili, iliyotengenezwa na quarcoo, inafanya kazi nzuri ya kuamsha hamasa ya tamasha hilo.

英語

the vibrantly designed logo for this event, created by quarcoo, does a great job of evoking excitement about the festival.

最終更新: 2024-02-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa bahati mbaya, serikali za mitaa zisizofanya wajibu wake zinafanya maisha yake kuwa machungu na kwa kweli inafanya iwe vigumu kupata haki yake.

英語

sadly, the non-functional local government makes his life bitter and brutally infringes on his right to private property.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa kuongeza, wavuti ya reclaimnaija.net inafanya kazi kama hazina ya taarifa inayotegemewa mtandaoni kwa ajili ya habari za uchaguzi wa mwaka 2011.

英語

in addition, the reclaimnaija.net website serves as a one-stop online resource for information on the 2011 elections.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hali hii inafanya uwepo uwezekano wa kutokea vitendo vya kifisadi, upotevu na hata matumizi mabaya ya fedha na hivyo kuzorotesha uwezo wa taifa hilo kupambana na janga hilo.

英語

this makes it possible for fraud, waste, and misappropriation of funds to occur therefore crippling the nation’s ability to quickly respond to the crisis.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

timu ya uturuki ya utafiti huko istabul inafanya utafiti mdogo wa matumizi ya chloroquine pamija na zinki, vitamini a, vitamini c, na vitamini d.

英語

a turkish research team in istanbul is conducting a small study on the use of chloroquine in combination with zinc, vitamin a, vitamin c and vitamin d.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika publimetro , camilo andrés garcía cortés anasema kuwa video hii yaweza kuwa inafanya historia kwa kuwa video iliyotazamwa mara mengi zaidi nchini colombia, kwa sababu ishapata kutazamwa mara laki tano baada ya masiku mawili tu.

英語

on publimetro , camilo andrés garcía cortés states that the video may be making history as the most watched colombian citizen video, due to its half a million views during only two days.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

@commsbh: waziri: wizara inafanya utafiti kwa lengo la kutengeneza udhibiti wa matumizi ya teknolojia ya mawasiliano ya sauti. #bahrain

英語

@commsbh: minister: mosc is conducting a research study for the purpose of setting up controls over the usage of (voip) technology. #bahrain

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa mujibu wa matokeo hayo, wale waliotoa maoni yao wanadhani serikali ilikuwa inafanya vizuri au vizuri sana kwenye kusimamia uchumi, kupunguza uhalifu na kutoa huduma za msingi za jamii kama vile afya, maji safi, barabara na elimu.

英語

in particular, those polled thought the government was performing well or very well in managing the economy, reducing crime and delivering basic services in terms of health, clean water, roads and education.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

pia linatumia lugha zote zinazotumika katika eneo la karibea - kiingereza, kihispania, kifaransa, kiholanzi - kwa kweli blogu hii inafanya kazi ya maana sana ya kusambaza taarifa na fikra.

英語

covering all the caribbean's language areas — english, spanish, french, dutch — the blog plays an increasingly important role in spreading information and ideas.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hiyo inapunguza muda na nguvu ambazo ningewekeza katika kazi yangu ya kuandika, bado najaribu kutafuta mizani, lakini imefika wakati nimekubaliana na ukweli kwamba kujiuza (japo ni neno baya) ni sehemu ya mchakato na kwamba intaneti inafanya kazi kubwa ya kusawazisha uwanja wa mapambano.

英語

it does take away from the time and energy i have to give to my writing, and i’m still working on finding that balance, but i’ve come to terms with the fact that self-promotion (ugly word) is part of the process and the internet is in many ways leveling the playing field.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,733,914,758 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK