検索ワード: kosa la kutafsiri (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kosa la kutafsiri

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kosa la jinai

英語

a criminal offence

最終更新: 2023-02-13
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kosa la kuingilia kinyume na maumbile

英語

kiswahili

最終更新: 2021-02-09
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kosa la kufanya kinyume na maumbile mpaka mavi

英語

do the opposite of nature until dung

最終更新: 2021-02-09
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hilo litakuwa kosa la wazi la kijinsia, au siyo?

英語

that would be a glaring sex offence, wouldn’t it?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kunamtu anapaswa kushitakiwa kwa kosa la mauaji. #chappra

英語

somebody needs to be tried for murder. #chappra

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nilijikuta nimefungwa gerezani na sasa nimeshitakiwa kwa kusingiziwa kosa la utekaji.

英語

i experienced getting jailed and now face trumped-up charges of kidnapping.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wametenda dhambi lakini hawakutenda kosa la jinai, ni kufanya uamuzi.

英語

they sinned but its not a crime, they made the decision.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika china, upitishaji wa madawa ya kulevya unachukuliwa kama kosa la jinai.

英語

in china, drug trafficking is considered as a felony.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kadhalika atatumikia miaka mingine mitatu nje ya gereza kwa kosa la matumizi ya silaha kinyume cha sheria.

英語

he also received a suspended sentence of three years for a firearm offence.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

binafsi, sikuamini kwa sababu kosa la hisham lilikuwa ni kuchochea mauaji wakati mohsen ndiye aliyeua.

英語

personally, i couldn't believe it because hesham's crime was instigating murder while mohsen was the one who killed.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

watu wanajiuliza ni kwa nini edom alikamatwa na kushitakiwa kwa kosa la ugaidi ilhali hakuwa mmoja wa wanaounda kundi la zone9.

英語

people ask why edom was arrested and charged with terrorism when she was not a member of the group.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nchini japan, vyombo vya habari kuonesha sehemu za siri ni kosa la jinai chini ya kifungu cha 175 cha makosa ya jinai.

英語

in japan, media portraying either the male or female genitalia are illegal under article 175 of the penal code.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

abeer osman mjukuu wa waziri mkuu wa zamani azhari alipelekwa kwenye kituo cha polisi kwa kwa kosa la kuandamana kupinga kura hiyo ya maoni ya sudani.

英語

abeer osman granddaughter of former pm azhari taken to police station over anti-#sudanref protest.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

caballero anasema kwamba ‘maafisa hao walipandwa na ghadhabu na kumwambia esteban kwamba alikuwa anatenda kosa la jinai’.

英語

caballero says that 'the agents were infuriated and told esteban that he was committing a crime'.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ghanem anakabiliwa na kifungo cha miezi 18 jela kwa kosa la kuchora kikaragosi ambacho hata hivyo hakikuchapishwa cha rais wa algeria abdelaziz bouteflika kilichohesabiwa na mamlaka za dola nchini humo kuwa ni matusi that was deemed offensive.

英語

ghanem faces 18 months in prison for an unpublished caricature of algeria's president abdelaziz bouteflika that was deemed offensive by the authorities.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

alisema vile vile kuwa katika kesi za ubakaji, polisi wawe wa kwanza kusimamia namna wanawake hao waathirika walivyovaa, na kama wamevaa hovyo, nao washitakiwe kwa kosa la kukaribisha uhalifu.

英語

he also said that in cases of rape, police should first ascertain the dress code of the victim, and if they were dressed indecently, they should also be charged with inviting the crime.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwezi juni mwaka jana, alihukumiwa miaka 15 jela bila kuwepo mahakamani na aliamuriwa kulipa faini ya paundi 100,000 za misri baada ya kushitakiwa kwa kosa la kumshambulia ofisa wa polisi na kukiuka sheria ya kuandamana ya 2013 inayozuia maandamano yasiyoruhusiwa.

英語

last june, he was sentenced to 15 years in absentia and given a 100,000 egyptian pound fine after being convicted of attacking a police officer and violating a 2013 protest law that prohibits unauthorized demonstrations.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa wakati huo, chenge alikuwa akichunguzwa na taasisi ya kuchunguza makosa makubwa ya jinai nchini uingereza (sfo) kufuatia kutuhumiwa kwa kosa la rushwa iliyohusisha kampuni ya kiingereza ya bae.

英語

at the time, chenge was under investigation by the british government's serious fraud office for corruption involving the british arms manufacturer bae.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kukutwa na barua pepe kutoka kwa mwandishi huyo aliyekuwa marekani lilikuwa kosa kubwa na vijana hawa walikamatwa na kushitakiwa kwa kosa la kutuma maombi ya "kushiriki mafunzo ya ugaidi" wakati ukweli ni kuwa mafunzo hayo yalihusiana na usalama wa mtandao wa intaneti kwa watumiaji.

英語

after an email from the ethiopian journalist in the us was found in their possession, these young men were also arrested and later charged with applying for "a terror" when in fact the training was about internet safety and security.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

@shahdan_shosh aliweka picha hii ya vijana 11 waliotiwa mbaroni kwa kosa la kukutanika kupata daku - chakula kinacholiwa usiku kwa ajili ya kuendelea na fungo wa siku inayofuata wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani kwa waislamu (chanzo: mtandao wa twita)

英語

@shahdan_shosh shares this photograph of 11 young men arrested for having suhoor - a latenight meal to prepare them to fast the next day during the muslim month of ramadan (source: twitter)

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,742,669,462 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK