Google で調べる

検索ワード: kufutiwa kodi ya pango (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

Kwa ajili ya lengo hili zilianzishwa tovuti mbili kwa ajili ya waungaji mkono Wa-Hungaria na Wa-Slovakia: boldogujevetmagyarorszag.sk ambayo ni tovuti ya Ki-Hungaria inayoishia na .sk, ambayo ni kodi ya nchi ya Slovakia, na stastnynovyrokslovensko.hu ambayo ni kwa ajili ya watu wanaozungumza Ki-Slovak huku ikiwekewa kodi ya nchi ya Hungaria.

英語

For this two websites were started for Hungarian and Slovakian supporters: boldogujevetmagyarorszag.sk is the Hungarian site ending with .sk, the Slovak country code, and stastnynovyrokslovensko.hu is for Slovak-speaking people signed with the Hungarian country code.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

Alinunuliwa gari lenye thamani ya kwacha milioni 350 , huku Zambia ikiwa kwenye lindi la umaskini, je, hivi ndivyo tunavyopaswa kumfanyia mtu mmoja? Tunajua kwamba serikali inamlipia kodi ya nyumba na gharama nyingine nyingi.

英語

He was bought a car worthy 350m , with this poverty in Zambia should we worst money serving one person. we know government pay his rentals and all sorts of expenses.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

Mnamo Machi 5, 2015, Mahakama ya Haki ya Umoja wa Ulaya ilitoa hukumu kwamba punguzo la kodi ya ongezeko la thamani (VAT) lililotolewa kwa vitabu vinavyochapishwa halitahusisha vitabu vya kidijitali, kwa kuzingatia kwamba kila kinachosambazwa au kutolewa kwa mfumo wa kieletroniki au kwa mtandao wa intaneti ni huduma.

英語

On March 5, 2015, the European Union Court of Justice ruled that the reduced value-added tax (VAT) established for printed books should not apply to digital books, considering everything distributed or delivered electronically or via Internet as a service.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

Katika barua yake, kwenye makala yake ya gazeti la kila siku la Kiarabu Al-Qabas, Al-Khamis alimuelezea Bin Laden kama mwanume wa ndoto zake, aliezea jinsi mabvyo angependa kwenda naye ndani ya pango lake, na kuosha ndefu zake na kuwa mmoja wa wake zake.

英語

In her letter, in her column in the Kuwaiti Arabic daily Al-Qabas, Al-Khamis described Bin Laden as the man of her dreams, describing how she would have loved going with him to his cave, washing his beard and becoming one of his wives.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
4,401,923,520 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK