検索ワード: kuhatarisha maisha yao (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kuhatarisha maisha yao

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

watu wapatao 7 walipoteza maisha yao.

英語

at least 7 people lost their lives.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

watu wameanza kuishi maisha yao waliyoyazoea.

英語

people have started to live their lives normally now.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na ngalao kufahamu kwa undani zaidi kuhusu maisha yao.

英語

and to go a little deeper into their lives.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ripoti nyingine zinataja kuwa watu kumi na watano walipoteza maisha yao.

英語

some reports are now saying that 15 people have died.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

uislamu ni sehemu ya maisha yao, lakini huwa haiwi kama ilivyotarajiwa.

英語

islam is a part of their life, but it doesn't get in the way.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ni matumaini watapona haraka na kurudi kwa maisha yao ya kawaida hivi karibuni.

英語

hopefully they have a speedy recovery and return to their normal lives soon.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

duniani kote, wastani wa vijana milioni 1.3 walipoteza maisha yao mwaka 2012.

英語

worldwide, an estimated 1.3 million adolescents died in 2012.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

@salimhatib: msiwasahau mashujaa walioyatoa maisha yao kutuletea siku hii yenye utukufu.

英語

@salimhatib: never forget the heroes who sacrified their life's to bring up this glorious day.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ni mategemeo yetu kuwa watu wataona filamu hizi na na kupata hamasa ya kuwasaidia kubadili maisha yao.

英語

we hope that people will see these films and be inspired to bring change to their lives.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

anawataka waguatemala kufunga macho ili kujionea wenyewe jinsi wanavyoharibu thamani ya maisha yao ya baadae.

英語

he asks guatemalans to open their eyes and see how they are destroying a valuable tomorrow.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

waandishi wa vyombo vikuu vya habari viliwakumbuka wa-ganda waliopoteza maisha yao katika mashambulizi hayo.

英語

mainstream media houses have paid tribute and respect to ugandans who lost their souls in the senseless attacks.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mapambano yamezingira kabisa kituo cha mbuga na walinzi wa doria mbugani wamelazimika kukimbilia misituni ili kuokoa maisha yao.

英語

fighting has now totally engulfed the park station and our rangers have been forced to flee into the forests for their lives.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hapana shaka, kila kundi linaipenda nchi yake na wengine wako tayari kuyatoa maisha yao kwa hiari kwa ajili ya nchi.

英語

no doubt, each group loves their country and some are ready to give their souls freely for it.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa niaba ya taifa lote, ninaungana na familia za wale waliopoteza maisha yao na kuwapa rambirambi za kila raia wa kenya kwa kilichotokea.

英語

with the entire nation, i stand with the families of those who have lost their lives and extend every kenyan’s deepest condolences.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

walihatarisha maisha yao; mapambano yao yalikuwa ni uthubutu, ukizingatia ukweli kuwa walikuwa wanashughulika na masuala ya kufa na kupona.

英語

they took a risk; their activities were daring, after all they were dealing with life and death matters.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hadi sasa taasisi hii imeshapanuka kiasi cha kuwa mtandao wa kimataifa wa wataalamu wa tiba ambao jukumu lao ni kuwasaidia wahanga kujenga upya makazi yao na maisha yao.

英語

it has grown to become an international network of medical professionals who help victims rebuild their homes and livelihoods.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

(kituo hicho) kimeanzishwa kukuza wasifu wa waandishi werevu, na wachapa kazi waliyoyatoa maisha yao kuwatumiakia watu dunia nzima.

英語

it is established to promote the profile of the brave, hardworking journalists who devoted their lives to serve their people worldwide.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

75% ya wanawake katika ajira ya kiwango cha juu au wenye ujuzi wa juu wamekabiliwa na matukio ya unyanyasaji wa kijinsia wakati fulani katika maisha yao.

英語

75% of women in high level jobs or who are highly qualified have experience sexual harassment at some point in their lives.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baada ya kunusurika na mafuriko mabaya ya mwezi septemba, wakazi wa barangay bagong silangan wanakabiliwa na changamoto kubwa zaidi: kujenga upya nyumba zao na maisha yao.

英語

after surviving the deadly flood last september, residents of barangay bagong silangan are facing a bigger challenge: rebuilding their homes and their lives.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

dkt burgos ni mwenyekiti wa chama cha haki za familia za watu waliotoweka, yaani asasi inayotafuta haki za watu waliopoteza maisha yao pasipo kujulikana, jambo ambalo linasemekana ni kielelezo cha utawala wa arroyo.

英語

dr burgos is the chair of desaparecidos (families of desaparecidos for justice), an organization seeking justice for the many unaccounted for, said to be a hallmark of the arroyo regime.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,772,927,331 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK