検索ワード: kujichukulia (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kujichukulia

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

zini zinakamilisha kazi zao kwa kuingiza imani mfu, kujichukulia vitu kw kadiri wanavyotaka wao na kuwaweka watu katika hofu.

英語

religion accomplishes their job by deploying instruments like blind faith, taking things for granted, and keeping people in fear.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini machafuko yatokanayo na kujichukulia sheria mkononi pamoja na mauaji kunakotokana na tuhuma za kukashifu ni jambo lisilovumilika kabisa na ni dhahiri kuwa ni ukiukwaji wa sheria za bangladesh.

英語

but vigilante violence and murder for alleged insults is a horrendous response and egregious violation of the laws of bangladesh.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

sada tangara, mpiga kura na mwanablogu anayeishi dakar, nchini senegali aliweka picha-habari inayohusu kuongezeka kwa matukio ya kujichukulia sheria mkononi kwenye mitaa ya dakar, mji mkuu wa senegali.

英語

sada tangara, a photographer and blogger based in dakar, senegal posted a photoreport on the rise of vigilante justice on the streets of dakar, capital city of senegal.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

“pale wanafunzi wanapochangia msala na mwalimu, wataamini (wanafunzi) kwamba wako sawa na wanataaluma na hii moja kwa moja huamsha hisia za kujichukulia kuwa na umuhimu katika taasisi, ambako, kwa mukhtadha huu, ni shule,” anasema mwenyekiti wa kamati ya elimu, elimu ya juu, rasilimali watu, sayansi na teknolojia wa jimbo hilo, ahmad razif abd rahman katika gazeti la mahali hapo la the star.

英語

“when students share the toilets with the teacher, they (students) will believe that they are on par with academicians and this automatically invokes a sense of being important to an organisation, which, in this case, is the school,” says state education, higher learning, human resource, science and technology committee chairman ahmad razif abd rahman in local daily the star.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,749,218,726 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK