検索ワード: kukatwa (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kukatwa

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

sudani: watumia mtandao wathibitisha tetesi za kukatwa kwa intaneti

英語

sudan: netizens verify internet blackout rumours · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati wote wa maandamano, kukatwa kwa mawasiliano, vitisho nk waliweza kujipiga moyo konde na kuendelea kuandika.

英語

throughout protests, blackouts, threats, they have managed to pull though and keep writing.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ukichambua hali ya mambo ilivyo, ni dhahiri kwamba sura ya nchi hiyo kukatwa katika vipande viwili iko dhahiri sana kuliko ilivyowahi kuwa kabla ya uchaguzi huu.

英語

in a detailed reading, the image of a country cut in two is even sharper than before.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

toleo la alhamisi la nt news, gazeti linalochapishwa kila siku kule darwin, lilijumuisha sehemu yenye kurasa nane za kukatwa na kutumika kama karatasi shashi.

英語

the thursday edition of nt news, a daily printed in darwin, included an eight-page insert meant to be cut up and used as toilet paper.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

dola ya kiislam ya nchini iraq na syria imeweka tena hadharani video nyingine ya mauaji ya kutisha inayoonesha kukatwa kichwa kwa mtu anayedhaniwa kuwa ni mwandishi wa habari wa marekani, steven sotloff.

英語

the islamic state in iraq and syria has shared a second gruesome video which allegedly shows the beheading of american journalist steven sotloff.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwanamke asiyefunika kichwa chake, afadhali anyoe nywele zake. lakini ni aibu kwa mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa; basi, afadhali afunike kichwa chake.

英語

for if the woman be not covered, let her also be shorn: but if it be a shame for a woman to be shorn or shaven, let her be covered.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

basi malipo ya wale wanao mpiga vita mwenyezi mungu na mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi.

英語

indeed the requital of those who wage war against allah and his apostle, and try to cause corruption on the earth, is that they shall be slain or crucified, or shall have their hands and feet cut off from opposite sides, or be banished from the land.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

video hii ya dakika tatu inadaiwa kuonesha kukatwa kichwa kwa steven sotloff, ambaye amekuwa akifanya kazi sehemu hatari katika maeneo mbalimbali ya mashariki ya kati kama vile bahrain, syria, egypt, libya na uturuki.

英語

the three-minute video allegedly shows the beheading of steven sotloff, whose work in hotspots across the middle east has taken him to bahrain, syria, egypt, libya and turkey.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hata hivyo, kukiwa na rufaa inayokaribia kukatwa na uwezekano wa hatua zitakazochukuliwa na mahamakama ya haki za binadamu ya ulaya, l4l, blogu mpya ya lugha ya kiingereza ya azeri, inasema kwamba huu ni mwanzo tu:

英語

however, with an appeal due to be lodged and possible action in the european court of human rights, l4l, a new english-language azeri blog, says that this is just the beginning.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

#isis yatoa onyo kupitia video ya kukatwa kichwa kwa steven sotloff kuwa, mataifa mengine kamwe yasiiunge mkono marekani. — zaid benjamin (@zaidbenjamin) septemba 2, 2014

英語

#isis says in steven sotloff beheading that nations should stay away from any alliance with the us — zaid benjamin (@zaidbenjamin) september 2, 2014

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,736,331,854 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK