検索ワード: kupitishwa (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kupitishwa

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kwa kutangazwa, kupitishwa na kuridhiwa kwa mkataba wa umoja wa mataifa kuhusu haki za walemavu.

英語

for the promotion, adoption and ratification of the united nations convention on disabled people.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hata hivyo, umaarufu wa chadema unaonekana kuongozeka mara baada ya kupitishwa kwa juma duni haji kama mgombea mwenza wa lowassa.

英語

but chadema's chances may be boosted by the appearance of juma duni haji as lowassa's running mate.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika taarifa ya kufafanua mswada huo, watunzi wa mswada huo walitetea ulazima wa kupitishwa sheria hiyo kwa hoja zifuatazo :

英語

in the explanatory note to the bill, the authors of the proposal justified the need for such restrictions with the following arguments :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kikundi cha saya anak bangsa malaysia kinashinikiza kupitishwa kwa sheria ya ujumuishi wa kijamii ili kutatua tatizo la umasikini nchini malaysia:

英語

the group saya anak bangsa malaysia is pushing for the passage of a social inclusion act to address the problem of poverty in malaysia:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mara zote amekuwa akikanusha kuwa ofisi yake ilihusika kupokea rushwa ili kuwezesha kupitishwa mkataba mkubwa wa uzalishaji umeme kutoka kwa kampuni ya kimarekani ya richmond development.

英語

he has constantly denied that his office was involved in accepting kickbacks for a major energy contract from american company richmond development.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mpango huo ulifanyika kusaidi mpango mpya wa fifa, uliotekelezwa mei mwaka huu na kupitishwa bila kupingwa, uliofanya adhabu dhidi ya ubaguzi wa rangi katika soka kuwa kali zaidi.

英語

the initiative was carried out in support of a new fifa initiative, implemented in may of this year and unanimously approved, that made punishments against racism in soccer more strict.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ili kuufanya mchakato uwe wa haraka, tunaweza pia kujumuisha kipengele kinachosema kuwa kubatilisha kunaweza kupitishwa mara moja ikiwa wote, mume na mke, watabadilishana kwa mdomo ahadi za kukana mapenzi kwa mwingine mara tatu

英語

to make the process speedy, we can also incorporate a provision that the annulment can be approved immediately if both the husband and wife will exchange a verbally denounciation of their love for each other for three times

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hata hivyo, covid-19 ina hali ya chini ya ukali na viwango vya vifo kuliko sars lakini uwezo mkubwa wa kupitishwa na kuambukiza watu wazee kuliko vijana na wanaume zaidi ya wanawake.

英語

however, covid-19 has lower severity and mortality than sars but is much more transmissive and affects more elderly individuals than youth and more men than women.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baada ya kupitishwa, museveni aliendelea kuwa na msimamo usioeleweka: alidai imekuwaje muswada upitishwe bila yeye kujulishwa, na kwa haraka kiasi kile, tena na idadi ndogo ya wabunge wakiongozwa na spika kadaga.

英語

after its passing, museveni continued to pursue an ambiguous position: he claimed how the bill was passed without his consultation, and in a rushed manner, by a small number of mps led by speaker kadaga.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baraza la ulema la wasunni, kundi la wanazuo wa dini, imeripotiwa kuwa walitoa ‘fatwa’ (amri ya kidini) dhidi ya sania na shoaib kutokana na kutembea kwa uhuru na kwa kuishi pamoja kabla ya ndoa hiyo kupitishwa rasmi.

英語

sunni ulema board, a group of religious scholars, reportedly issued a 'fatwa' (religious edict) against sania and shoaib for mingling freely and living together before the marriage is solemnized.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,730,024,339 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK