検索ワード: kushamiri (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kushamiri

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

hali ya utumikishaji wa watoto nchini ufilipino inazidi kushamiri.

英語

child labor exploitation is worsening in the philippines.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kushamiri kwa uongozi wa kijeshi kitaifa na kwenye jamii kumefanikisha ukandamizwaji wa maoni mbadala kusini mwa nchi, na kumewezesha mashambulizi dhidi ya wanahabari.

英語

the militarisation of state and society has been able to suppress dissent in the south, even mounting attacks on journalists.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa msaada wako, tunaweza kufanya mtandao uwe na lugha nyingi kadri iwezekanavyo wenye kushamiri lugha tofauti tofauti, na sio kubagua baadhi ya lugha.

英語

with your help, we can pave the way for a more multilingual internet where different languages are celebrated, not excluded.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

maandamano yanazidi kushamiri katika nchi ya palestina hususani katika majiji ya ukanda wa magharibi ambayo ni: hebron, ramallah, bethlehem na nablus.

英語

protests are growing in the palestinian territories, especially in the major cities of the west bank: hebron, ramallah, bethlehem and nablus.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kufuatia machafuko yanazozidi kushamiri, kwa mujibu wa gazeti la the telegraph, serikali ya erdogan imeshawatia nguvuni zaidi ya washukiwa 2,500 wa makundi ya is, pkk na dhkp-c.

英語

in response to growing violence, according to the telegraph, the erdogan government has detained more than 2,500 suspected members of is, pkk and dhkp-c.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa mujibu wa taarifa ya kila mwaka ya tume ya haki za binadamu ya pakistan, mauaji ya ya kulinda heshima yanabaki kuwa ni “namna ya ukatili dhidi ya wanawake nchini pakistan unayoendelea kushamiri na unaochukiza kabisa " mwaka 2012, wanawake 913 waliuawa kwa kulinda heshima ya familia zao, ikiwa ni pamoja na kuuawa kwa watoto 99, taarifa hiyo inaeleza.

英語

according to the human rights commission of pakistan's annual report, honor killings remain "the most consistent and abhorrent form of violence against women in pakistan." in 2012, 913 women were killed in the name of their family's honor, including 99 children, the report says.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,740,636,929 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK